Makapuku Forum

Hussein Mwinyi bado ni Waziri wa Ulinzi.

Inasemekana anaandaliwa kwa Urais wa Zanzibar.
 
1978 - Lucio anazaliwa.

Beki wa zamani wa Bayern Munich, Inter Milan, Juventus na timu ya taifa ya Brazil.

Mshindi wa Kombe la Duni mwaka 2002, na Klabu bingwa ulaya mwaka 2010 akiwa na Inter Milan ya Jose Mourinho.

Ile Inter ilikuwa kiboko mbele alisimama binamu Eto'o na muargentina fulani hivi alikuwa hatari kwa kutupia magoli muhimu
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…