Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nipo mama. Nahangaika na kilimo cha umwagiliaji hapa Koromije. Kumbuka nilishawapa ofa ya kuwachinjia ndama mnono au ligulyati (dume) la mbuzi siku mtakapokuja kutalii huku. Ofa yangu bado iko pale pale. Na itafurahisha zaidi mkija bila mlinzi!
nazani umetumia trick zote hii ndo ya mwisho afu umefeli lol..
 
IMG_-av273c.jpg
IMG_-ceubdc.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom