Makapuku. Kumekucha wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Nawaombea siku njema na yenye mibaraka tele; pamoja na ulinzi mzito wa mwenyezi Mungu. Twendeni tukapambane, na kama kawaida yetu makapuku: HAKUNA KUKATA TAMAA !!!
View attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
inauma sana kwa hawa malkia wetu jamani ....nashindwa ata kufikiria familia zikoje ata kama tunaamini kazi ya Mungu haina makosa ila inaumaa kweli kwelii ..asante chief kwa magazetiii