Makapuku Forum

miss u kiboko yangu mpk nakufwa
baby ushajifunza hayo maandishi ya marangi
mm sipendi yananiumiza macho au sijui ndio ushamba wangu

bora umerudi jana usiku walikua wanakuua kwa maneno shemela shululu na tetra
nakumis mama kipenda roho changu ....najua unakosa amani nikiwa mbali na wewe ila soon ntakuwa available mda wote
nimeweka rangi kuonesha msisitizo
 

Hii picha ni aibu
Umakini wa mtu huanzia kwenye mavazi
Nyerere alikuwa smart kimavazi hadi uongeaji,matendo n.k
JK ndo kabisa japo alikuwa "dhaifu"
Viongozi wengi mahiri mfano Mandela ukiwachunguza picha zao za ujanani utagundua kitu

Hivyo tusimshangae huyu mzee wa kuropoka na kukurupuka km mavazi yake

...........
 
 
hivi huyu ni bwana yulee?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…