Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 7, 2017 #182,081 shululu said: Ugari wa bukura Click to expand... Kimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogo
shululu said: Ugari wa bukura Click to expand... Kimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogo
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 7, 2017 #182,082 Shunie said: Mambo yangu hayo Click to expand... Karibu sana!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 7, 2017 #182,083 Mndali ndanyelakakomu said: Kwani hapo kinyerezi iliyo jirana segerea au nyingine Click to expand... Hiyo hiyo
Mndali ndanyelakakomu said: Kwani hapo kinyerezi iliyo jirana segerea au nyingine Click to expand... Hiyo hiyo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 7, 2017 #182,084 SHIMBA YA BUYENZE said: Ni kweli Shunie. Vitu vingine ni vya kuacha kama vilivyo. Hata mimi hii kitu sitakaa niiguse. Kuna imani katika ukoo wetu kuwa ukiigusa tu unaehuka; na walioigusa wengi wao hawako sawa! Click to expand... Ni kweli msukuma
SHIMBA YA BUYENZE said: Ni kweli Shunie. Vitu vingine ni vya kuacha kama vilivyo. Hata mimi hii kitu sitakaa niiguse. Kuna imani katika ukoo wetu kuwa ukiigusa tu unaehuka; na walioigusa wengi wao hawako sawa! Click to expand... Ni kweli msukuma
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 May 7, 2017 #182,085 Mndali ndanyelakakomu said: Huo ugali utafikiri wa na ugomvi na njaa Click to expand... Chakula halisi cha mwanaume wa mkoani hicho...
Mndali ndanyelakakomu said: Huo ugali utafikiri wa na ugomvi na njaa Click to expand... Chakula halisi cha mwanaume wa mkoani hicho...
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #182,086 Shunie said: Hiyo hiyo Click to expand... Kweli huyo atakuwa mwenyeji wa tabata
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #182,087 SHIMBA YA BUYENZE said: Chakula halisi cha mwanaume wa mkoani hicho... Click to expand... Kweli hata mi mkulima nakula lakini hicho hapana
SHIMBA YA BUYENZE said: Chakula halisi cha mwanaume wa mkoani hicho... Click to expand... Kweli hata mi mkulima nakula lakini hicho hapana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 7, 2017 #182,088 BlessedHope said: Hahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tu Click to expand... i pray for u mama mchuchu all the best and get better soon
BlessedHope said: Hahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tu Click to expand... i pray for u mama mchuchu all the best and get better soon
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 7, 2017 #182,089 SHIMBA YA BUYENZE said: Kimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogo Click to expand... main office ni nini
SHIMBA YA BUYENZE said: Kimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogo Click to expand... main office ni nini
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 7, 2017 #182,090 SHIMBA YA BUYENZE said: Karibu sana! Click to expand... Santee
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 May 7, 2017 #182,091 Makapuku
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 7, 2017 #182,092 husna muba said: Makapuku Click to expand... Abeeh tulia humu nikutafutie shemeji yangu akuliwaze na yaliyopita
husna muba said: Makapuku Click to expand... Abeeh tulia humu nikutafutie shemeji yangu akuliwaze na yaliyopita
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #182,093 husna muba said: Makapuku Click to expand... Tupoooo
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #182,094 Shunie said: Abeeh tulia humu nikutafutie shemeji yangu akuliwaze na yaliyopita Click to expand... Dada hii kazi umeanza lini
Shunie said: Abeeh tulia humu nikutafutie shemeji yangu akuliwaze na yaliyopita Click to expand... Dada hii kazi umeanza lini
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 7, 2017 #182,095 Mndali ndanyelakakomu said: Dada hii kazi umeanza lini Click to expand... hapana kaka sijaanza ila nataka nimtaftie faraja mana Daby kamuacha njia panda mtto wa watu kaenda kwa jimama
Mndali ndanyelakakomu said: Dada hii kazi umeanza lini Click to expand... hapana kaka sijaanza ila nataka nimtaftie faraja mana Daby kamuacha njia panda mtto wa watu kaenda kwa jimama
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 May 7, 2017 #182,096 Nyagei said: Habari yako dingimtoto Click to expand... nzuri kwema huko captain nyagei
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #182,097 BlessedHope said: Hahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tu Click to expand... Pole dada Mungu atakuponya
BlessedHope said: Hahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tu Click to expand... Pole dada Mungu atakuponya
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,394 Reaction score 10,836 May 7, 2017 #182,098 Mndali ndanyelakakomu said: Kwanini unaona man u atakula nyingi Click to expand... bado wana kigundu cha moes
Mndali ndanyelakakomu said: Kwanini unaona man u atakula nyingi Click to expand... bado wana kigundu cha moes
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #182,099 Shunie said: hapana kaka sijaanza ila nataka nimtaftie faraja mana Daby kamuacha njia panda mtto wa watu kaenda kwa jimama Click to expand... Pole zake mwambie nafasi iliyopo ni kufanya ibada tu mapenzi hayana maana hata kidogo
Shunie said: hapana kaka sijaanza ila nataka nimtaftie faraja mana Daby kamuacha njia panda mtto wa watu kaenda kwa jimama Click to expand... Pole zake mwambie nafasi iliyopo ni kufanya ibada tu mapenzi hayana maana hata kidogo
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 7, 2017 #182,100 torvic said: bado wana kigundu cha moes Click to expand... Sawa tusubiri muda ukifika majibu yataonekana
torvic said: bado wana kigundu cha moes Click to expand... Sawa tusubiri muda ukifika majibu yataonekana