Makapuku Forum

Wanamsumbua Nike
Mzee wa


Adidas wanachonikera ni mistari yao tu ile mi3

.........
Ile ndio alama yao. Kama ambavyo nike ike tiki ndo alama yao.

Sema msimi huu wameharibu kuweka ile mistari mitatu kwenye usawa wa mbavu badala ya juu ya mabega.

Puma inapendwa sana na timu za Afrika.

Puma na Adidas ni kampuni za mtu na kaka yake.

ADIDAS - All Days I Dream About Sports. Kirefu kisicho rasmi.
 
Mkuu sio msimu huu tu hata zamani washawahi kufanya hivyo
Pia washawahi kuweka kwa style km ya michirizi ya jezi za Azam...pia kuweka begani kushukia kwenye nembo
Ila ile ya juu begani ndo official
.......
 
La Liga ligi ya kizembe sana
 
DSTV sio mpira tu, mfano wewe bitoz ni mwanasheria, ukiiangalia chanel kama CRIME na ID, pamoja na mambo ya historia kupitia HISTORY, utajifunza vitu vingi sana tofauti kabisa na ulivyofundishwa chuo
 
Nilikuwa sijui kirefu aisee, shukrani sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…