Alafu nina historia ya hataree na Tanga..ilianzia form two..hapana chezea tanga kunani gusa unase
ndo hivyo captain, tusije fukuzwa jukwaanah hivi nilikuwa sijui mkuu![]()
huko ndio alipo sakayoAlafu nina historia ya hataree na Tanga..ilianzia form two..
Watu wa muheza mpoo..!
Leo sijagusa bia...!Unapiga kilaji gani? Maana kama unagonga safari lager inabidi nikutupie kitu toka Kenya Katitu Jazz band au Shirati Band.
Ukiwa unagonga vitu vya 'hamu' basi tumsake mlimbwende wa enzi zile Dolly.
Na kama unagonga nyagi au anything 40+ ABV basi tukae chini tutafute moja ya maana
Ha ahahhahah, sasa Mondray alivyoandika yaani utadhani kitu kigeni kabisa, LOL





ufike salama shemela keshoNaingia barabarani, tukutane kwenye magazeti
Shshshss! Tuko nje shunie ujue.huko ndio alipo sakayo


Eb tudokeze hiko kisa basShshshss! Tuko nje shunie ujue.
Mambo mengine inbox basi![]()
Fullu mikanjaro musee..!niko poa mzeiya..ni fullu??
Duh, uliweza kumkamata Jorowe wewe? Labda ulikamata 'jijii' au dodolima.Kwenda zako na uongo wako..
Enzi zangu nimewakamata sana nyumbani kwenye paa la nyumba.
Hata shuleni pia wapo.
Nikikwambia acha konyagi hutakiHa ahahhahah, sasa Mondray alivyoandika yaani utadhani kitu kigeni kabisa, LOL
Hahahaaa!Ha ahahhahah, sasa Mondray alivyoandika yaani utadhani kitu kigeni kabisa, LOL
Hahah usiwaze jombaa huku raia tunaelewana kinomando hivyo captain, tusije fukuzwa jukwaan
Dingi ni ajee...!ndo hivyo captain, tusije fukuzwa jukwaan
Duh, uliweza kumkamata Jorowe wewe? Labda ulikamata 'jijii' au dodolima.
ulikuwa unatumia muda mwingi kusaka ndege shuleni eeh




Sio wale wakubwa..Duh, uliweza kumkamata Jorowe wewe? Labda ulikamata 'jijii' au dodolima.
ulikuwa unatumia muda mwingi kusaka ndege shuleni eeh
HahahhhHahahaaa!
Mondray katoka kuvua sasa hivi..! Shombo la ziwani linampa wenge
wacha banaHahah usiwaze jombaa huku raia tunaelewana kinoma
Hamna arifu...sio mkaaji sana wa huku lakini huwa napita siku mojamojaFullu mikanjaro musee..!
Dizaini wewe mgeni humu?