Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Naanzaje kukususia wewe pumzi yangu mpenzi...Aaaww!
Yaani nilikumiss balaaa...bora mama umerudi tuu..
Nahisi kufufuka sasa..
I'm all yours
Naanzaje kukususia wewe pumzi yangu mpenzi...Aaaww!
Yaani nilikumiss balaaa...bora mama umerudi tuu..
Nahisi kufufuka sasa..
Nasubiri kitu adimu toka kwako cha enzi hizoNiko poa sana mdau, wikend tunapelekeshana nayo
Amen,uwe na siku njema Obe ubarikiwe
Ha hahhahaha, nashukuru mdau, ngoja nimpandishe mdada makini leo.Nasubiri kitu adimu toka kwako cha enzi hizo
Ooops! Ulipoondoka kidogo kila kitu kilivurugika...Naanzaje kukususia wewe pumzi yangu mpenzi...
I'm all yours
hahaha kwan nimekosea wpHadi umekosea kuandika unavyotetemeka..
Hujazoea nini?
hahah ofcorse![]()
![]()
![]()
My brother in action
Leo akikisha unazama kwa ndichi kama mlinzi na wewe...hahaha kwan nimekosea wp
Love you so much.....Ooops! Ulipoondoka kidogo kila kitu kilivurugika...
But i see my revaval now..! I am newly born in love again
hahaha kwakwel dadaakeFunga kwa maombi mkuu,kufuli lake haliwi na funguo spare
Poa za wwShunie mambo?
Binamu shikamooNiko poa sana mdau, wikend tunapelekeshana nayo
Freshhh...Poa za ww
naona baba jilie tu kilajiFreshhh...
Mama lai amerudi , nina furaha leo balaa..
Yaaani imebidi niende mahali kwanza nile kilaji..
mmh sijakusomaLeo akikisha unazama kwa ndichi kama mlinzi na wewe...
Sawa? Agreed?
Wacha nile kilaji...naona baba jilie tu kilaji