Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
usilale kwanza subiria exclusive kwanza nimemtagg toxic9 anakuja tufanye mazungumzo be patientLove you so much.....
Handsome mie nalala, kesho church mume wangu...
usilale kwanza subiria exclusive kwanza nimemtagg toxic9 anakuja tufanye mazungumzo be patientLove you so much.....
Handsome mie nalala, kesho church mume wangu...
Hujaelewa tuu?mmh sijakusoma
Hujaelewa tuu?
Kafanye kama yule mlinzi alivyofanya kwa wanafunzi wa kike..
Soma gazeti la sani la leo..




umeshaanza kulewa
UkimaanishaLeo akikisha unazama kwa ndichi kama mlinzi na wewe...
Sawa? Agreed?
Muombeee mume ruhusa kwanza bhanausilale kwanza subiria exclusive kwanza nimemtagg toxic9 anakuja tufanye mazungumzo be patient
Transcend ni roho ya SakayoWacha nile kilaji...
Sakayo ni roho ya Transcend!
mamaa huo mtihan siuwez kakaHujaelewa tuu?
Kafanye kama yule mlinzi alivyofanya kwa wanafunzi wa kike..
Soma gazeti la sani la leo..

Mwawaaaaaaaaaaaah!Transcend ni roho ya Sakayo
Mmmmmmwwwwaaahhh

Hahahaaa! Ndio sababu ulikosea kuandika sasamamaa huo mtihan siuwez kaka
nimgumu hatar kama kuvamia bank
na panga tu....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Binamu shikamoo
Gitaa hupendezesha muziki
Naimani tumeshinda salama wadau, tukiendelea na mapumziko ya wiki ya kutumia baada ya kuwa tumepokea haki yetu.
Leo tumwangalie mwanadada maarufu kwa jina la Tracy Chapman, mara ya kwanza nasikia nyimbo zake ni baada ya kuwa nimemsikia Karola Kinasha na nilijikuta navutiwa na nyimbo zake na zaidi upigaji wake wa gitaa, na kama unavyojua kijisegment hiki ni kwa ajili ya wacharaza gitaa tu.
Ni maarufu kwa nyimbo za kisiasa na kuelezea masuala ya kijamii na kutokana na kazi yake ameshinda tuzo 4 za Grammy na tuzo nyingine nyingi ndani na nje ya USA.
Keshafanya kazi na mashirika ya kimataifa ya kupigania haki za binadamu, Mwaka 1988 katika kuadhimisha miaka 40 ya Tamko la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu (UDHR) alitumbuiza jijini London chini ya Amnesty International, na mwaka huo huo alitumbuiza katika kukumbukumbu ya kuzaliwa Nelson Mandela.
Nyimbo zake maarufu ni pamoja na ninaoupenda zaidi, 'talking about revolution', Fast Car, For My lover, Matters of the heart, let it rain na ambao nitaupandisha leo 'give me one reason'. Wimbo wa Fast Car ningependa uutafute na usikize gitaa linavyodonolewa kufuatisha maneno yenye kusisismua bongo.
Tracy keshatumbuiza na wapiga gitaa maarfufu duniani akiwemo BB King, Buddy Guy, Eric Clapton na pia kina Ziggy Marley pia na muitaliano Luciano Pavarroti.
...ana msemo wake ninaoupenda ' kama kuna watu wanadhani una nafasi ya kutoa mchango wako, basi toa, ni kitu kizuri kufanya.
Mwangalie hapa katika clip ya YouTube akicharaza gitaa na gwiji Eric Clapton.
Hadi wakati mwingine, twe na usiku mwema
miss u big binamu yangu inaenda vizuri tu sijui upande wako bakurutu vipiiiii binamuMarhabaa auntie wangu. Nimekumiss.
Weekend inaendaje upande wako, kwangu iko sawa nashukuru
Tunamshukuru Mungu anatutunzawakuu mambo niaje mko salama ??
KaribuAsante sana mpendwa
Hahahaa! Nikiwa mtoto nilikuwaga napenda nipatwe na hizi scandal za mwanamke kunibaka
Utoto ni upuuzi kwa kweli
Ulikuwa unaelewa unachotaka au ulitengeneza nini kichwani?