Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
Aisee, ban ya jf au jamaa yakehahahh queen naona kashapewa life ban alirudi kipindi flan kafanya fujo sana akapotea ghafla kama kawaida yake
Usifanye mchezo, zingekuwa zinakula chips hapo sawa, lakini chakula maalumu hapo ndio kwenye tatizosi kwa hamu hizo [emoji23][emoji23] mpk kutoa kisu
Nipourudi unaenda wapi
hahaha jamaa yakeAisee, ban ya jf au jamaa yake
mkuu tueshimiane naeshimu kazi yangu ....ohoooLeo umejidamka mapema. Kulikoni? Umeingia lindoni mapema au? Au umekatazwa kuondoka? Aliyesema paka akiondoka panya hutawala hakukosea[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona wengine sisi tunavumiliaUsifanye mchezo, zingekuwa zinakula chips hapo sawa, lakini chakula maalumu hapo ndio kwenye tatizo
Pole yakehahaha jamaa yake
Thubutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona wengine sisi tunavumilia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na mababy zaoPole yake
hahaha hutaki sasa kuaminiThubutu
Nitaweza soon katika yeye anitiaye nguvu[emoji123]tunakuombea mama mchuchu uweze
Shetani kazinimtu anaebakwa anapata wapi hiyo fursa??
Hii dhambi itawatafuna milele wasipotubundio wamembaka mlinzi wao
swadaktaShetani kazini
Tunamuombea sana huko aliko awe salama na arudi akiwa na afya njema,nakila analofanya liwe la mafanikio,nimemiss Lee pia jamani Mungu amtunze[emoji120]bado shemela labda tutegemee jioni hii au kesho nimemmiss kwakweli
AmeeenNitaweza soon katika yeye anitiaye nguvu[emoji123]
Funga kwa maombi mkuu,kufuli lake haliwi na funguo sparesiwezi kuwa na amani naivi umewatambishia kuwa wewe ni kibonge mlaini ndo watajazana pm funga iyo pm na makufuli aina ya wohu au solex mijianaume ya dar itabubujika huko kama buji buji na mimi naongeza majeshi
cc:shululu
:toxic9
Ameen mama mchuchu [emoji120] namuombea Mungu amlinde na arudi salamaTunamuombea sana huko aliko awe salama na arudi akiwa na afya njema,nakila analofanya liwe la mafanikio,nimemiss Lee pia jamani Mungu amtunze[emoji120]