Makapuku Forum

Makapuku Forum

hahahhahah
Raha ya maombi, unaweza ukaomba upate kitu X,
Lakini Mungu anakupa kitu kikubwa zaidi yaani Kitu L ambacho hukukitegemea,ndo kilichotokea uliombea tufungwe walau hata goli 1,ila tumeshinda 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado Mungu amejibu maombi yako
 
hahahhh kwendraaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha tucheke my dear maisha yenyewe mafupi,hapa nalia watoto waliofariki yupo mtoto binamu yangu alimsimamia ubatizo.ni mtoto namfahamu vizuri .watoto wamezimika kama mishumaa kwenye upepo...wapumzike kwa amani[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Aisee poleni sana
 
Back
Top Bottom