Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Kazi ya kumlinda Shunie hapa JF probably ndiyo kazi ngumu kuliko zote. The angel is famous as hell na kila janaume linapobisha hodi huku gia ya kuingilia ni "Shunie I miss you, Hawa yu Shunie"... Kama na huko MMU hali ni hii hii namwonea huruma sana Shedede. May be he has bitten more than he can chew/swallow. Poor Shedede!Shede
shidaah ipo kubwaaaKawaida tu mkuu, kwan kuna shida
NJIA ZAKE HAZICHUNGUZIKIHAKIKA MUNGU YU MWEMA
nipoooooo mkuu uko poa kama kawa??Afande shedede upooooooo
Lee atakuweka sawahapo ndio mnaponivuruga sante shem wange
May be Shunie kamchosha "kumtuma tuma" na sasa kaucharaza usingiziAfande shedede upooooooo
ni exclusive mtamboni tunafanya sisi hatushindwi
tunataka kujua kwanini sakayo katususa
cc: transcend
don't dare to make mistake under my root huwa sitishwi na kelele za chura mijianaume hasa wewe ndio mlioniharibia kazi nyieKazi ya kumlinda Shunie hapa JF probably ndiyo kazi ngumu kuliko zote. The angel is famous as hell na kila janaume linapobisha hodi huku gia ya kuingilia ni "Shunie I miss you, Hawa yu Shunie"... Kama na huko MMU hali ni hii hii namwonea huruma sana Shedede. May be he has bitten more than he can swallow. Poor Shedede!
Bado sijafika kuleee, ni kawaida tushidaah ipo kubwaaa
unamjua huyo mpaka hum miss
Aaaa wapi! Fisi alinde bucha. Thubutuuuu!!!Nitakaimu nafasi yake
Nipo kamanda. Koromije hapa mambo powa kabisa...hahaha nasubiria 2nd reply mkuu
kwema sana vip mkulima
Hahahahahahaha mbona mnajamba katikati ya saundi?Aaaa wapi! Fisi alinde bucha. Thubutuuuu!!!
Tononootungi=otonge
tonono utwa masiku
Huonyeshi kama umegangamara; na shida ndo inaanzia hapo. Ndo maana juzi juzi hapa ulitimuliwa Lee alipokushtukiza akakuta umehamishia sime, mapanga na rungu lako Master bedroom. Isingekuwa Shunie mwenyewe kuingilia kati sasa hivi ungekuwa jobless.don't dare to make mistake under my root huwa sitishwi na kelele za chura mijianaume hasa wewe ndio mlioniharibia kazi nyie
ndomana vigingi haviishi kunisimanga hii kazi ingekuwa very easy lee angekupa ww anajua ni kazi ya kiume yenye more complain ndo mana kanipa mimi .........
.......
.......
......
May be Shunie kamchosha "kumtuma tuma" na sasa kaucharaza usingizi
Njema ndugu yanguNipo salama, za nyumbani
Tashbiha kidogo mkuu. Huku tunaheshimiana sana !!!Hahahahahahaha mbona mnajamba katikati ya saundi?
hahah...h tunakata tu-balance story
Nawaona Nawaona mnamnyapia madam wangu
siku nyingine paka upate ruhusa kutoka kwangu kumsalimia tu shunieBado sijafika kuleee, ni kawaida tu