shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
MhhhhhhmhhhhhKumbuka nilishasema jambo lolote kumhusu madam ni lazima mpitie kwangu hamuwezi kwenda kwa madam bila ya kupitia kwangu
MhhhhhhmhhhhhKumbuka nilishasema jambo lolote kumhusu madam ni lazima mpitie kwangu hamuwezi kwenda kwa madam bila ya kupitia kwangu
kulima ni hobby jombaNaona hutaki kiinua mgongo cha wakulima
Kuna kipindi ulipotea humu mpaka nikawa nakuhurumia, ila sasa kama hukumbuki vileAchana nao hao watoto wa wenger huwawezi
kila kona ya nyumba ulinzi ni imala zaid mpaka kwa bedroom sio mchezo kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
kwenye ukuta zipo
Kweli ni mapya aiseemmmh mi sikuskia mkuu ngoja toxic aje tufanye mazungumzo pamoja na kuandaa kama mpya na mikataba kadhaa kuhusu shilawadu
Nenda ukatekeleze hobby yakokulima ni hobby jomba
Kuna kipindi ulipotea humu mpaka nikawa nakuhurumia, ila sasa kama hukumbuki vile
mmh itakuwa ngumuNenda ukatekeleze hobby yako
Mzazi hataki mazoeaA teacher's letter to a parent:
"Dear Parent, Katongole, your son, doesn't smell nice in school. Kindly encourage him to take shower."
Parent replies:
"Dear Teacher, Katongole is not a rose flower. Don't smell him, just teach him! Thank you."
![]()
Na mimi ndio nitakae sainimmmh mi sikuskia mkuu ngoja toxic aje tufanye mazungumzo pamoja na kuandaa kama mpya na mikataba kadhaa kuhusu shilawadu
aina shidah mkuu wewe si mlinzi wa sakayoNa mimi ndio nitakae saini
Gud reply dear parent... Keep it up.A teacher's letter to a parent:
"Dear Parent, Katongole, your son, doesn't smell nice in school. Kindly encourage him to take shower."
Parent replies:
"Dear Teacher, Katongole is not a rose flower. Don't smell him, just teach him! Thank you."
![]()
Usigune mkuuMhhhhhhmhhhhh
Eti wewe ni mtoto wa wenger?West Ham 0 Tottenham 0
Half time
Kulikonimmh itakuwa ngumu
Now we are talking. Angalau umegangamara kidogo hata mkwara kidogo unaeleweka. Ukiendelea hivi Lee akirudi nitamuomba akuongezee mshahara. Akigoma nitajitolea mwenyewe kwa sababu safari hii nyanya zangu zimekubali balaa hapa Koromije. Excellent job![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
utauliwa bure

Sawa mkuuwakuu usiku mwema mlale salama