Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
hahah...mkuu nilikuwa nakuona tu njama zako mi nifukuzwe kazi ile nikakusaidie shambaniHuonyeshi kama umegangamara; na shida ndo inaanzia hapo. Ndo maana juzi juzi hapa ulitimuliwa Lee alipokushtukiza akakuta umehamishia sime, mapanga na rungu lako Master bedroom. Isingekuwa Shunie mwenyewe kuingilia kati sasa hivi ungekuwa jobless.
Shunie usiku mwema.. naona leo walinzi wamekataa kunifungulia geti...ngoja nijaribu kuvuka ukutasiku nyingine paka upate ruhusa kutoka kwangu kumsalimia tu shunie![]()
![]()
![]()
Mwambie ajuesiku nyingine paka upate ruhusa kutoka kwangu kumsalimia tu shunie![]()
![]()
![]()
Vunga basi![]()

Naona mikwala mizito mizito tunipoooooo mkuu uko poa kama kawa??
Bora useme wewe, mimi naambiwa wivu!!!Hiyo ni mind game mkuu
Muulize Chelsea
hahah..h iyo midogo sanaNaona mikwala mizito mizito tu
Shunie usiku mwema.. naona leo walinzi wamekataa kunifungulia geti...ngoja nijaribu kuvuka ukuta
utauliwa bureHahahaha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
utauliwa bure
Kumbuka nilishasema jambo lolote kumhusu madam ni lazima mpitie kwangu hamuwezi kwenda kwa madam bila ya kupitia kwanguhahah...h tunakata tu-balance story
Naona hutaki kiinua mgongo cha wakulimahahah...mkuu nilikuwa nakuona tu njama zako mi nifukuzwe kazi ile nikakusaidie shambani
thubutuuuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
lima pekeyako
Achana nao hao watoto wa wenger huwaweziBora useme wewe, mimi naambiwa wivu!!!






mmmh mi sikuskia mkuu ngoja toxic aje tufanye mazungumzo pamoja na kuandaa kama mpya na mikataba kadhaa kuhusu shilawaduKumbuka nilishasema jambo lolote kumhusu madam ni lazima mpitie kwangu hamuwezi kwenda kwa madam bila ya kupitia kwangu