Dunia ina mambo8/Daisy & Violet Hilton
Hawa walizaliwa 1908 mama yao akiwa binti wa miaka 19
Mama yao alikuwa ni baamedi na sistaduu Hivyo kuamua kuwauza kwa bosi wake( namaainisha kuwauza km unavyouza vitu dukani)
Huyo jamaa akawaweka showroom na kuingiza pesa kutokana na burudani yao iliyotukuka
Wakatekwa na wafanyabiashara wengine na kuanza kuwatembeza sehemu mbalimbali duniani
.......
Zaidi ya ngumu aiseeAisee mzazi ana roho ngumu
Nzuri kabisa shemela, vp pande hizopoa shemela za ww
Mhhhhhhmhhhhh aisee3/Krista & Tatiana Hogan
Walizaliwa huko Vancouver Canada 2006
Ni mapacha walioungana kichwani
Ni maarufu katika vipindi vya TV huko Canada
Bado wanadunda tu
.......
NyongezaMario Balotelli - Namba 45
Straika Mario Balotelli amekuwa akivaa jezi namba 45 ambapo sababu kuu ni kuwa 4 +5 = 9.
Hivyo anapokuwa anavaa namba 45 ni sawa amevaa namba 9.
Pia alipovaa namba 45 kwa mara ya kwanza akiwa Inter Milan alifunga mechi nne mfululizo hivyo akaamua aendelee na namba hiyo.
Inter Milan
Ac Milan
Man City
Liverpool
Wapumzike kwa amani2/Ladan & Laleh BijaniHawa walizaliwa Iran mwaka 1979 wakati wa mapinduzi hali iliyopelekea kuwa chini ya matunzo ya daktari hadi miaka michache baadaye
Walikuwa wakitofautiana kwa mambo mengi mfano mmoja alitaka kuwa Wakili huku mwingine alitaka kuwa mwandishi wa habari hali iliyopelekea watamani kutenganishwa japo walielezwa Ni hatari
Wakati wa operesheni ya kuwatenganisha walikuwepo madaktari bingwa wa upasuaji 28 pamoja na wahudumu 100
Baada ya kutenganishwa wakafariki masaa machache baadaye
.......
RIP2/Ladan & Laleh BijaniHawa walizaliwa Iran mwaka 1979 wakati wa mapinduzi hali iliyopelekea kuwa chini ya matunzo ya daktari hadi miaka michache baadaye
Walikuwa wakitofautiana kwa mambo mengi mfano mmoja alitaka kuwa Wakili huku mwingine alitaka kuwa mwandishi wa habari hali iliyopelekea watamani kutenganishwa japo walielezwa Ni hatari
Wakati wa operesheni ya kuwatenganisha walikuwepo madaktari bingwa wa upasuaji 28 pamoja na wahudumu 100
Baada ya kutenganishwa wakafariki masaa machache baadaye
.......
Tengua kauli yako hiyo aisee. Au unamaanisha mtu mwingine?Kumbe umeishi mwanza mama mchungaji
Ahsante mkuu Bitoz kwa top ten murua kabisa.1/Giaconno & Giovanni Battista
Hawa walizaliwa mwaka 1877
Kuungana kwao kulisababisha washindwe kutembea na kutumia kiti cha magurudumu maisha yao yote
Walifanya ziara mbalimbali kwa kipindi cha miaka 20
Walifanikiwa kuoa wanawake tofauti
Mwisho
Tukutane J3
............
Nimetengua aisee, nilijua mama mchungaji sorry mzee wa ManTengua kauli yako hiyo aisee. Au unamaanisha mtu mwingine?
Asante bitoz1/Giaconno & Giovanni Battista
Hawa walizaliwa mwaka 1877
Kuungana kwao kulisababisha washindwe kutembea na kutumia kiti cha magurudumu maisha yao yote
Walifanya ziara mbalimbali kwa kipindi cha miaka 20
Walifanikiwa kuoa wanawake tofauti
Mwisho
Tukutane J3
............
Kwakweli ilisumbua sana ndiyo imetulia sasani ww tu mama mchuchu
nilikua namsubili kwa hamu napenda sana vituko vyake
Dah we acha tu, siku ile ndio ilikuwa siku ya mwisho kuvaa jezi na scarf ya timu kwenda kucheki mechi.Hahahaha TJ pub kitambo kidogo. Nilikuwa ghetto na washikaji halafu wote man united. Tulikuwa tunasonya Tu hahahaha. Scholes akapew red card
Kweli,alimtaja na kuhusu projects alisema,tuwaombee mafanikio ili tupate burudaniRafiki yake ni Hanscana pia alisema hivyo kuwa wana projects nyingi sana. Ngoja tuzisubirie
hapo ndio mnaponivuruga sante shem wangeHONGERA KWA 180K
Pamoja sana. Kwema lakini?Nimetengua aisee, nilijua mama mchungaji sorry mzee wa Man