BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Wahenga wanasema Sifa zinauaUtukutu umeharibu kipaji chake.
Wahenga wanasema Sifa zinauaUtukutu umeharibu kipaji chake.
Pole sana,huwa inaumizaIlikuwa ni moja ya siku mbaya sana nikiwa kama shabiki wa Man Utd.
Asante Bitoz kwa top 101/Giaconno & Giovanni Battista![]()
![]()
Hawa walizaliwa mwaka 1877
Kuungana kwao kulisababisha washindwe kutembea na kutumia kiti cha magurudumu maisha yao yote
Walifanya ziara mbalimbali kwa kipindi cha miaka 20
Walifanikiwa kuoa wanawake tofauti
Mwisho
Tukutane J3
............
Ndio zako eeh!!!Mechi hiyo nilikuwa arusha, city Park

natamani na mm kujuaAhsante mkuu Bitoz kwa top ten murua kabisa.
Ila nimebakiwa na maswali waliwezaje kuoa wakiwa hivyo?
Polee sana mama anguKwakweli ilisumbua sana ndiyo imetulia sasa
Jumapili nakufunga aisee![]()
Kwema mkuu
Khaaaunapenda watundu eeh???
Maskini2/Ladan & Laleh Bijani![]()
Hawa walizaliwa Iran mwaka 1979 wakati wa mapinduzi hali iliyopelekea kuwa chini ya matunzo ya daktari hadi miaka michache baadaye![]()
Walikuwa wakitofautiana kwa mambo mengi mfano mmoja alitaka kuwa Wakili huku mwingine alitaka kuwa mwandishi wa habari hali iliyopelekea watamani kutenganishwa japo walielezwa Ni hatari
Wakati wa operesheni ya kuwatenganisha walikuwepo madaktari bingwa wa upasuaji 28 pamoja na wahudumu 100
Baada ya kutenganishwa wakafariki masaa machache baadaye
.......
hahahaha baba mchuchu naona kazi yakoKaza mwendo ili twende na wakati![]()
in darasa voice
Thanks Bitoz1/Giaconno & Giovanni Battista![]()
![]()
Hawa walizaliwa mwaka 1877
Kuungana kwao kulisababisha washindwe kutembea na kutumia kiti cha magurudumu maisha yao yote
Walifanya ziara mbalimbali kwa kipindi cha miaka 20
Walifanikiwa kuoa wanawake tofauti
Mwisho
Tukutane J3
............
Mungu yu mwema anayo makusudi kwa kila kiumbe chake,wacha Mungu aitwe Mungu,ametuumba kwa jinsi ya ajabu na kutisha tumshukuru sana3/Krista & Tatiana Hogan![]()
![]()
Walizaliwa huko Vancouver Canada 2006
Ni mapacha walioungana kichwani
Ni maarufu katika vipindi vya TV huko Canada
Bado wanadunda tu
.......
tuwaombee wakuewawe na furaha na amani ili kusudi lake Mungu litimie
Hao ni wazima kiuzaziAhsante mkuu Bitoz kwa top ten murua kabisa.
Ila nimebakiwa na maswali waliwezaje kuoa wakiwa hivyo?
N'kwei Mama MchungajiUkijifanya una mapepo sisi tunakemea
Cc Baba mchungaji

AiseeHao ni wazima kiuzazi
Hivyo wanafanya km ww unavyofanya tofauti staili tu
..........
Mungu yu mwema anayo makusudi kwa kila kiumbe chake,wacha Mungu aitwe Mungu,ametuumba kwa jinsi ya ajabu na kutisha tumshukuru sana3/Krista & Tatiana Hogan![]()
![]()
Walizaliwa huko Vancouver Canada 2006
Ni mapacha walioungana kichwani
Ni maarufu katika vipindi vya TV huko Canada
Bado wanadunda tu
.......
tuwaombee wakuewawe na furaha na amani ili kusudi lake Mungu litimie
Af wewe!!!.....we unataka weka muziki uskize mwenyewe!!!hahaha aki nimeshangaa mama angu