Makapuku Forum

10/Abby & Brittany Hensel
Walizaliwa 1990 wazazi wao wakaambiwa hawataishi zaidi ya usiku mmoja lakini miaka 22 baadaye wakaanza masomo Chuo Kikuu
Wana mioyo miwili, mapafu pea mbili, na ubongo kila mtu na wake ila mmoja anatawala upande wa kushoto huku mwingine Julia
Kila mtu ana leseni yake ya udereva, wanaendesha baiskeli , gari na kushirikiana mambo mengi
.......
 
Aisee
 
9/Chang & Eng Bunker
Walizaliwa 1811 huko Sir am(Thailand ya sasa)
Mwanzo ilionekana ni rahisi kuwatenganisha lakini Madaktari wa kipindi wakagundua ni hatari kwa uhai wao hivyo wakaghairi
Hawa walikuwa wajanjawajanja hivyo hawakulala njaa walishiriki matamasha na kupiga shoo na kuvuta mkwanja
Walifanikiwa kuwa maarufu na kuizunguka dunia
.......
 
halaf wameungana kidogo tu
 
Mussolin5. Nimeona picha ya Guardiola (Barca) akikabwa na Dennis Bergkamp (Arsenal). Ilikuwa UCL mwaka gani?
 
8/Daisy & Violet Hilton
Hawa walizaliwa 1908 mama yao akiwa binti wa miaka 19
Mama yao alikuwa ni baamedi na sistaduu Hivyo kuamua kuwauza kwa bosi wake( namaainisha kuwauza km unavyouza vitu dukani)
Huyo jamaa akawaweka showroom na kuingiza pesa kutokana na burudani yao iliyotukuka
Wakatekwa na wafanyabiashara wengine na kuanza kuwatembeza sehemu mbalimbali duniani
.......
 
Aisee mzazi ana roho ngumu
 
7/Lori & George Schappell
Hawa walizaliwa wakiwa wameungana vichwa 1961 huko kwenye Zahanati fulani Pennyslavia na kutoonyeshwa hadi walipofikisha miaka 20

George alikuwa msanii na kufanikiwa kushinda Tunzo za muziki "Los Angeles Music Awards" pia aliingiza nyimbo zake kwenye filamu mbalimbali za Hollywood ambao wimbo wake "Stuck on You" ulitumika
..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…