shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HBD Benayoun1980 - Yossi Benayoun anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa West Ham, Liverpool, Chelsea, Arsenal na timu ya taifa ya Israel.
HBD Benayoun1980 - Yossi Benayoun anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa West Ham, Liverpool, Chelsea, Arsenal na timu ya taifa ya Israel.
Ila unaikubali kiainasitakiii
Basi kama sio mlinzi wako hiyo bajeti ya bia naitoa kabisasio mlinzi wangu mm
kiasi chake sbbu lee ni chelseaIla unaikubali kiaina
ni kweli mm mmojawapojamani hivi mnajua,
kwa kipindi hiki watu wa dar wameanza kujifunika na mashuka sikuizi na wengine wanayatafuta kwenye makabati
haujaelewa nimemaanisha mlinzi wangu sio wa kulainika na beer na wala hawezi lainika na chochote kileBasi kama sio mlinzi wako hiyo bajeti ya bia naitoa kabisa
Amen Shunie ubarikiwe siku njemaAmeen mama mchuchu ubarikiwe sana
Asante ubarikiwe Torvicamen!
Na mablanketi pia tunajifunika mkuu,na masweta makoti yanavalikajamani hivi mnajua,
kwa kipindi hiki watu wa dar wameanza kujifunika na mashuka sikuizi na wengine wanayatafuta kwenye makabati
hahahah! kabaridi ka uchokozi haka!ni kweli mm mmojawapo
mvua na jua bora mvua!!!Na mablanketi pia tunajifunika mkuu,na masweta makoti yanavalika
Labda liwe robothaujaelewa nimemaanisha mlinzi wangu sio wa kulainika na beer na wala hawezi lainika na chochote kile
kauona mpunga wa kutosha kwann asikubali, hakuna mkate mgumu mbele ya chaiAksante sanaAmen asante kwa historia mkuu Mussolin5 kazi yako ni njema ubarikiwe
Ni kweli mkuu.![]()
![]()
Inatokea mara chache mchezaji kuchezea klabu zote hizo 3
.......
Pamoja mkuu![]()
![]()
Makaburu noma sana kila mwanaharakati walimuonjesha jela
Kagame swahiba ake Sizonje nae ndo staili yake ikishindikana unauawa kimyakimya
Shukrani mkuu
Tukutane jioni
.........
.
Pamoja sana!Asante mussolin kwa historia mubashara
Ubarikiwe asante kwa magazeti![]()
How are you doing Madame?Merci PapaaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
sio kwa shedede analipwa hela nyingiLabda liwe robot![]()
![]()
kauona mpunga wa kutosha kwann asikubali, hakuna mkate mgumu mbele ya chai