Makapuku Forum

Makapuku Forum

Msubiri SHIMBA atakwambia kasayari wenyewe kadogo km goroli
.......
Huwa unanisikiaga eeh!?

Ni hivi: Wanasayansi sasa wana nadharia mpya ni kwa nini hakuna uhai katika sayari zingine. Mbali na kuwa naturally inhabitable, inawezekana wakazi wake waliendelea sana kiteknolojia wakajimaliza wenyewe. Given time hata dunia hii tuji-off wenyewe kwa haya masilaha makali yasiyo na kikomo.

Yes, kasayari kenyewe haka haka kamoja lakini tunavyokazana kukaharibu kwa kila namna ni hatari....
 
Aunty yangu nakupendea hapo tu, timu inayoshinda ndo yako. Ya nini kujipa stress bhana?
Bandwagon fans [emoji23][emoji23][emoji23]
c0bbae4f8f7537a935c6116b941c5716.jpg
 
Back
Top Bottom