Makapuku Forum

aisee
 
6/Nimitz Class Aircraft Carrier
Hii ndo meli kubwa zaidi ya kubebea zana za kivita duniani
Iligharimu USD 4.5 billion kutengenezwa...ina uwezo wa kutumia km kiwanja cha ndege za kivita kutua, kujaza mafuta, marubani kupumzika n.k
Inaweza kubeba ndege 90 za kivita
Marekani kaamua kutengeneza nyingine nayoitwa The Gerald Ford Class Aircraft Carrier' itagharimu USD 12 bilioni (si mnawajua Marekani kwa kuzidisha mahesabu wanaweza kusepa chupi ya Trump imeshonwa kwa dola 100000 ili tu iingie kwenye rekodi)
.........
 
5/Chimera Virus
Hiki ni kirusi kinachotengenezwa kutokana na DNA za virusi viwili so zaidi
V ilitengenezwa na Wasoviet mnamo miaka ya 1980 ili juvisambaza kwa Maadui
Vina uwezo mkubwa wa kuzisumbua darubini za kimaabara Hivyo kusababisha isijulikane njia sahihi ya kuvitibu au chanjo Hivyo kusababisha viendelee jusambaa kwa kasi na vifo
.........
 
Duuh
 
4/Russia's Aviation Thermoboric Bomb of increased Power
"vitu vyote vinavyoishi vinaweza kuyeyushwa" hayo ni maneno ya kiongozi mmoja huko Urusi wakati wa uzinduzi wa Bomu hilo mwaka 2007 akimaainisha ni bomu hatari kiwango cha SGR
zinajulikana kama Father Of All Bombs(FOAB)..
.Lina nguvu X 4 ya Bomu lisilo la kinyuklia la USA Liitwalo GBU 43/B Massive Ordinance Air Bomb
.......
 
3/ICBM
Kirefu chake ni The Intercontinental Ballistic Missile)
Ni kombora lenye shabaha linaloweza kurushwa umbali wa mail I 3400
Lilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kusafirisha silaha za nyuklia
Ni kombora hatari linaliweza kurushwa kwa ndege, nyambizi au gari lina uwezo mkubwa Wa kufika target
.....
 

Hi ni manowari ya nchi gani? Duh
 
kwa mapendeleo yangu hii imekaa vizuri
 
2/[MIRV

Hili ni kombora la nyuklia la masafa mrefu linlojumuisha muunganiko wa silaha nyongi

Lina uwezo wa kupiga sehemu nyongi kwa pamoja tofauti na ya kizamani ambayo hupiga uelekeo mmoja tu

Hili kombora ni noma yaani linapiga Tandale,Mbagala na Madale kwa mpigo
.......
 
Yote hii kujihami
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…