shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante sanaKaribu sana
Asante sanaKaribu sana
Huo ndio ukweli mkuu!Utasikia wana manowari kumi kubwa zaidi duniani zenye thamani ya mabilioni ya dola
Kumbe Mrusi anazo kitambo tu kwa gharama ya dola robo bilioni tu
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Nimechelewa kuleta mrejeshohahaha jamaan unajua siku ile machale yalinicheza live hamna ata recorded hamna ila nikawa najipa matumaini ninavyoona madrid wanacheza
sawa shem wangeNimechelewa kuleta mrejesho
Ni kwamba leo hawaonyeshi
Hahaha, mpaka anikute huku porini atakuwa ameshastaafuHa hahahahaha, omba asikusikie , huwa hajaribiwi.
Watu tunamjaribu Mungu, itakuwa Magu
Upo sahihi nilikoseaNimitz ni aircraft carrier ya us.
Hiyo ni machine nzuri sana9/The 50 Cal Sniper Rifle![]()
![]()
Inafahamika pia kama SDR-50
Mwanzo kabisa ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya Polisi wadunguaji ambao ilijulikana kama SDR-1
Ni bunduki yenye kasi na breki ambao ina uwezo wa kuzuia usitokee mlipuko mkubwa pindi inapotumika
Pia imetengenezwa maalumu kwa ajili kukwepesha matundu kwenye vyombo vya maana unaweza kupiga hata kwa ndani yaani kuweka tobo dogo lakini madhara mkubwa
Hii km jina lake inatumiwa zaidi na wadunguaji
.. ...
5/Chimera Virus![]()
![]()
Hiki ni kirusi kinachotengenezwa kutokana na DNA za virusi viwili so zaidi
V ilitengenezwa na Wasoviet mnamo miaka ya 1980 ili juvisambaza kwa Maadui
Vina uwezo mkubwa wa kuzisumbua darubini za kimaabara Hivyo kusababisha isijulikane njia sahihi ya kuvitibu au chanjo Hivyo kusababisha viendelee jusambaa kwa kasi na vifo
.........
Naliona la USA MOAB4/Russia's Aviation Thermoboric Bomb of increased Power![]()
![]()
"vitu vyote vinavyoishi vinaweza kuyeyushwa" hayo ni maneno ya kiongozi mmoja huko Urusi wakati wa uzinduzi wa Bomu hilo mwaka 2007 akimaainisha ni bomu hatari kiwango cha SGR
zinajulikana kama Father Of All Bombs(FOAB)..
.Lina nguvu X 4 ya Bomu lisilo la kinyuklia la USA Liitwalo GBU 43/B Massive Ordinance Air Bomb
.......
Ahsante brother Bitoz1/Tear Bomba![]()
![]()
![]()
Hili Bomu ni noma ndo baba lao kwa silaha za maangamizi ya halaiki
Lilitengenezwa na Muungano wa Kisoviet ili kupambana na mkakati wa kinyuklia wa Marekani
Linaruka hadi maili 40 angani ambao ni urefu X 7 ya Mlima Everest
Lilishindikana kubebwa kwa ndege sababu ya ukubwa/uzito wake pia likirushwa kwa ndege uwezekano wa marubabi kupona Ni 50%
Hilo ndo bomu hatari zaidi la kinyuklia
Mwisho
......
Matokeo ya leo utayadhaminiMara nyingi nikipata humu lazima nimkute
Sharti la ngoma ingia kati uichezeHivi hii forum inahusu nini? sijaelewa
Ati nini? Ushabiki wa mpira umehamia mpaka kwenye mambo ya kijeshi?Ni aibu kuwafananisha na Wamarekani ambao wanapenda tu kukadiria vifaa vyao vya kijeshi kwa pesa kubwa halafu havina ubora
......
mzee wa harakatiSharti la ngoma ingia kati uicheze
Kaa nasi upate kuulisha ubongo wako


Hahaa endelea mkuuMatokeo ya leo utayadhamini
Shunie yupo. Siku hizi kawekewa mlinzi. Jihadhari!