Makapuku Forum

2012 - Rashid Yekini anafariki dunia.

Staa wa zamani wa Timu ya Taifa ya Nigeria katika World cup ya 1994.
Wakati wa fainali hizo alifunga nao na kushangilia kwa hisia kali ya kuingia golini na kushika wavu na kuutikisa
Tukio hilo lilimpa umaarufu mkubwa duniani na staili hiyo ikaigwa

Lakini Mwisho alikufa kimaskini huko nyumbani kwao

.
Shukrani kamanda kwa historia
Tukutane jioni kwenye 10 kubwa
......
......
 
Tongotongo la Asubuhi
Simba mpanda miti
Sina hii ya Simba wanapatikana Tanzania pekee
Sasa mtu unaenda mbugani ukijua simba ujifovha tu kwenye nyasi hivyo kutembea kwa mavhale kumbe mnyama yupo juu ya mti anakuchora tu
Asubuhi njema
.......
Huyu ni simba ama chui maana naona ana vidotidoti
 
Asante kwa picha bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…