Makapuku Forum

Pamoja sana Mkuu
 
Wakuu habari za muda,nimepewa salamu zenu kutoka kwa SAKAYO kaniambia anawapenda sana na amewamiss wadau

Transcend
Kaka Q
Nyagei
Mandali
Lee empire
Shunie
Mondray
Vale
musolini
Mlinzi wa shunie nae
Behaviorist
Bitoz
Werason
Shedede
Shululu
Mama mchungaji
Cley
Jovitha
Nyoka mzee
Ravy
Shimba buyenze

Na mwisho usijisahu mwenyewe Toxic9 aka baba paroko
 
mm huwa naonana nae sana baba paroko hata mda mfupi uliopita nilikua nae chit chat ila zimefika asante
 
asnte kwa top 10 mkuu madenge
 
hahahha shemela shululu ukuje usikie habari za saa tulikua tuna wasi wasi sana kuhusu saa

acha tu binamu kapuku n zaidi ya familia mwenyewe nikiwa sijalog in huwa nawamiss sana kapuku wote

Utani kando, kiukweli hii saa ni lazima muwe na wasiwasi, hebu fikiria saa yenyewe kukiwa na giza inatoa kimwanga fulani hivi amazing wala haka agonize , halafu si nilikwambia ni ya mshale na nakuongezea kingine, ina kiufungua, ukikivuta unarekebisha muda, ukikivuta kidogo tu ukarudisha nyuma, unarekebisha tarehe
 
hahah..umemkuta wapi

salamu zake zimepokelewa

......... .......
 
binamu naanzaje mm kukuchafulia cv tunavyokupenda ni mukongo ndio kakupiku binamu


hapa ndo namkumbuka lee empire , mjomba wangu huyu tungekaa bar kama kamati tujadili hili jambo maana kiukweli moyo umeumia sana. Lakini hakuna noma, roho yake ndo mwamuzi , kama kaoteshwa au hakuota basi nawatakia maisha mazuri.
Ila wakiachana kwa talaka anajua wapi pa kuja
 
Asante msalimie sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…