Aisee ni wengi![]()
Wanaongezeka km panya
..
Asante kwa je wajua ubarikiwe Bitoz![]()
Kuna mateja wa intranet
.
.
Tukutane baadaye kwenye 10 kubwa
..........
Thanks bitoz![]()
Kuna mateja wa intranet
.
.
Tukutane baadaye kwenye 10 kubwa
..........
binamu masikini nakuonea huruma watu wamekupiku
Binamu obeeeee we miss u, saa haijapotea kweli wakakuibia huko bakurutu yaan kuna habari mbaya binamu yangu hata sijui nitaanzia wapi kukwambia
Wameshaachana na hii policy tangu mwaka jana/juzi? baada ya kuona madhara yake ni makubwa...![]()
Mimba za kike zinatolewa tu
....
Thanks bitoz
Pamoja sana wadauAsante kwa je wajua ubarikiwe Bitoz
DuWaligoma kumwimbia "Happy birthday to yuuuu" Shunie wake kwenye party jamaa akaamua kuwalima risasi. Alifanikiwa kuua wawili.![]()
Habari Makapuku wenzangu.
Nilipotea kidogo kufuatilia masuala ya kijamii zaidi, nipo na nimerudi na nguvu, ari na kasi ile ile ya zamani.
katika kijisegement hiki cha nyuzi aka gitaa katika muziki leo tuwaangalie magwiji wawili kwa mpigo, Carlos santana na george benson. hawa wote ni magwiji wa gitaa na carlos kwa mfano, ni mmoja kati ya wapiga gitaa maarufu duniani kwa sababu huwa anachanganya sty;le ya gitaa ya Kilatin, Afrika na America kwa pamoja.
Wote wana tuzoo 10 katika kazi zao za muziki ikiwemo tuzo za Grammy.
Hebu tuwaangalie hapa wakiperform wimbo wa George Benson 'Breezin'
Tukijaariwa tutamwangalia Vumbi Dekule Kahanga.
Nyagei najua unampenda Benson
Mimi nilijua labda saa imeibiwaNiliku/wamiss sana kikweli, no jokes. Nyie ni family for sure.
saa haiwezi kuibiwa labda wanikate mkono, mkanda wa saa ilibidi niubadili sasa una uwezo wa kuweka kijikufuri kidogo.
Hii habari mbaya , hebu tulia kwanza usinipe wakati una kimuhemuhe. Nitangulize pole kabla sijaisikia




Ndio wameachana na "One Child Policy"Wameshaachana na hii policy tangu mwaka jana/juzi? baada ya kuona madhara yake ni makubwa...
Too badWaligoma kumwimbia "Happy birthday to yuuuu" Shunie wake kwenye party jamaa akaamua kuwalima risasi. Alifanikiwa kuua wawili.![]()

Asante sana Bitoz ubarikiwe![]()
Kuna mateja wa intranet
.
.
Tukutane baadaye kwenye 10 kubwa
..........
Kuna mjukuu kabadili hapa ngoja waje sasamama mchuchu rudisha ile avatar ya mwanzo