BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Njema za kushindahabar za saa hii jamii yangu ??
Njema za kushindahabar za saa hii jamii yangu ??
good2/Sri Lanka![]()
![]()
Hili ni Taifa la dini mchanganyiko ila Wabudha ndo wanetawala
Kuna Wakristo , Waislamu na Wahindu kiduchu
99% wanaamini katika Mungu na wanashirika ibada vilivyo
........
shukrani Bitoz kwa top 10 asante sana1/Niger
Taifa hili la Afrika Magharibi lina idadi kubwa ya Waislamu karibia 94% ya wananchi wote![]()
Idadi kubwa Waislamu wa dhehebu la Sunna, kuna Wakristo kiduchu
Juzijuzi Rais wa Niger alilitangaza Taifa kuwa ni la Kiislamu Hivyo linaongozwa kwa kufuata misingi ya uislamu
Karibia 100% ni wafia dini
Tukutane kesho
Mwisho
................
KatishaAisee huyu jamaa sio mzima
Hawa wajukuu wa siku hizi niwa dot Commama mchuchu jamaan mpk avatar wanakubadilishia hujui mama angu kubadili
Leta mamboTOP TEN
wakuu leo kwa udhamini wa Mama Mchungaji nawaletea nchi kumi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu
Saudi Arabia ibafahamika km nchi ta Kiislamu na kutumia sheria za Kiislamu(Sharia) lakini 10 bora pia Brazil inafahanika kwa kuwa na idadi kubwa ya Wakristo Wajatoliki lakini mayo haipo haipo maana sio kila anayeitwa Ally ni muislamu wa swala tano au John kila jumapili anaenda kanisani na kuamini Yesu ni mwokozi
Hapa tunaanhalia nchi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu haswa
Karibuni
.........
Mama mchungaji umetishaNdiyo hivyo dear ilinichuku mwaka kuweka aliyeniwekea yuko shule ,sasa leo wataalamu wamerekebisha hata sijui pa kuanzia
Mrukufu10/Morocco![]()
![]()
98% ya Wamorocco ni Waislamu,Wakristo ni 1% huku 0.2% ni Wayahudi
93% ta wananchi wa Morocco wanaamini uwepo wa Mungu/Mola
Ni watu wa swala tano kila siku na hufunga kila mwezi mrukufu wa Ramadhani
........

Huwezi kumdhamini mtu au kumwaminihahahha lee hawezi kufanya hivyo huyo jamaa sio mzima
Aisee ni wengi sana8/Bangladesh
Taifa hili lipo huko barani Asia![]()
88% ni Waislamu...ndio Taifa la kwanza kwa kuwa na Jamii kubwa ya Waislamu duniani
Uislamu ndio dini kuu ya Bangladesh
93 ni watu wa swala tano
.......
Wanaonekana tu9/Georgia
Benders yao tu ina Alana ya msalaba!!![]()
83&% ni Wakristo Wa dhehebu la Orthodox,1% wanafuatisha dhehebu la Orthodox la Urusi 4% wabafuatisha dhehebu la Mitume ,waliobaki ndio Waislamu
93% ni washika dini na jumapili asubuhi kwao ni mwendo wa kanisani tu
.......
Kuna kipindi walikuja juu sana kwa Tanzania, walikuwa wanamwaga pesa na kujenga makanisa, baada ya wabongo kuwachakachua nao wakapotea7/Armenia![]()
![]()
94% ya wananchi wote ni Wakristo wa dhehebu la kitume(Apostolic church}
Mnamo mwaka 301 AD Arnenia nilikuwa Taifa la kwanza kujitangaza kuwa Taifa la kikristo
93% ya wananchi wa Armenia ni watu wa dini
........
Hii ndio dini bora kabisa6/Thailand![]()
![]()
95% ya Wathailand wanaabudu Ubudha(Buddhism) huku nguzo yao kuu ukiwa ni upendo,kujiongoza/kujitawala na kutofanya uovu
Watgaikabd wachache wanafuata Uhindu(Jindusm)
94% ya watu wa Thailand ni watu wa dini
........
Si ushayaonaLeta mambo
Pamojashukrani Bitoz kwa top 10 asante sana
mh shemela ukimaanisha anaweza kufanyaHuwezi kumdhamini mtu au kumwamini
Sawa Mama MchungajiAsante sana nipo hapa nasimamia udhamini wangu,asante kuniwazia mema ,kweli siku moja nitdhamini haya mambo yetu na mengine mengi ubarikiwe
Aisee5/Yemen![]()
![]()
Waarabu hawa karibia 97% ni watu wa swala tano
Hii ni nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu...kanzu kwao ni km vazi la Taifa
98% wanaamini uwepo wa Allah
........
Ni mwendo wa kula mboga za majani RU ..hakuna kuchinja mnyama nasikiaHii ndio dini bora kabisa
Ndo nasikia kwakoKuna kipindi walikuja juu sana kwa Tanzania, walikuwa wanamwaga pesa na kujenga makanisa, baada ya wabongo kuwachakachua nao wakapotea