Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Morocco
9810698c6da1e18b021462f6708e5e82.jpg
f795fa43f2a12e34e1df0a71ce5d74bc.jpg

98% ya Wamorocco ni Waislamu,Wakristo ni 1% huku 0.2% ni Wayahudi
93% ta wananchi wa Morocco wanaamini uwepo wa Mungu/Mola
Ni watu wa swala tano kila siku na hufunga kila mwezi mrukufu wa Ramadhani
........
Mwezi mtukufu huooo unakuja
 
9/Georgia
e1b6b69a71511ac7a68284307f35a68f.jpg
fea7acead61919ca22510722627446b7.jpg
Bendera yao tu ina Alana ya msalaba!!
83&% ni Wakristo Wa dhehebu la Orthodox,1% wanafuatisha dhehebu la Orthodox la Urusi 4% wabafuatisha dhehebu la Mitume ,waliobaki ndio Waislamu
93% ni washika dini na jumapili asubuhi kwao ni mwendo wa kanisani tu
.......
 
7/Armenia
3b473fe2f2722d7f4e6f93ea6bae4072.jpg
66b5337520effdafb2a16f176a5cb043.jpg

94% ya wananchi wote ni Wakristo wa dhehebu la kitume(Apostolic church}
Mnamo mwaka 301 AD Arnenia nilikuwa Taifa la kwanza kujitangaza kuwa Taifa la kikristo
93% ya wananchi wa Armenia ni watu wa dini
........
 
NUKUU YA LEO

Every person i killed i strongly believe that they were bad. when i do go face God there is going to be lots of things i will have to account for but killing any of those people is not of them.


kila mtu niliyemuuwa ninaamini kwa dhati kuwa walikuwa ni watu wabaya. Nitakapokwenda Kumuona Mungu uso kwa uso kuna mengi sana ya kuwajibishwa ila hili kwa hili la kuuwa watu sio miongoni mwao.

Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwanajeshi na mdunguaji wa kimarekani na mwanakikosi wa Navy seal Team 3 Bw. Christopher Scott Kyle aliyezaliwa April 8 1974 huko Texas marekani na kufariki 2 Feb 2 2013 huko huko Texas marekani.

Kyle alizaliwa katika familia ya kifugaji huko Texas, baba yake Kyle alimnunulia kyle silaya yake ya kwanza ( rifle) wakati chris kyle akiwa na umri wa miaka 8 tuu. Baadaye alimnunulia shutgun kwa ajili ya kuwinda na kuchunga zaidi ya mifugo 150 huko Texas nchini marekani.

Baada ya shule ya kati, chris alijiunga na jeshi na moja kwa moja akapelekwa kujunga na special forces, ambapo mwaka 1999 alijiunga na SEAL TEAM 3. Chris amepigana vita ya iraq akiwa kama sniper/mdunguaji wa kikosi cha seal.

Chris kyle amechukua medani 3 za kijeshi kwa kazi aliyofanya akiwa iraq, na pia amekuwa na cheo cha Chief pretty officer hadi mauti ilipomkuta,Chris kyle anashikilia rekodi ya kuwa mdunguaji aliyeuwa watu wengi zaidi katika jeshi la marekani, kyle katika kitabu chake cha record kule vitrani iraki, kinaonyesha ameuwa watu 150 japo pentagon waaamini ameuwa watu 160 ukitoa wale ambao hawakusabiwa wakati wa mauaji ya haraka haraka.

Chris kyle anaamini alifanya kazi yake vizuri ila aliumia sana pale aliposhindwa kuokoa wanajeshi wenzie, watoto na watu wasio na hatia na kuona wakifa mbele yake bila msaada.Kyle akiwa mtoto aliwah kuamini yeye lazima awe mwanajeshi ama awe mchungi( cowboy) kazi ambayo aliifanya kabla ya kujiunga na jeshi.

Kyle aliuliwa na mwanajeshi mstaafu wa marekani Eddie Ray Routh wakiwa wametoka range, Eddie alikuwa na matatizo ya akili na alishatoka hospitalini hapo awali, kwenda range ilikuwa ni njia ya kumsaidia kurudia hali ya kawaida, ila kabla ya hayo akatumia bastola ya chris kumuuwa chris na rafikiye mwingine Chad Littlefield.

Klye atabaki kuwa shujaa kwa marekani na kwa wadunguaji wote duniani.

R I P mzee wa M24 Sniper Weapon System(sws).
Hadithi yake inafanana na series ya Shooter
 
3/Malawi
f308c475fe6722271d158f935c9c4b4f.jpg
7561cef9b058cf6028fe85d29a7f1feb.jpg

Dini kuu ni Ukristo ila kuna idadi ndogo pia ya Waislamu,Wayahudi,Wabaha na Marastafarah
99% ni watu wa dini ....sijui wanafanya kazi saa ngapi maana Malawi ni miongoni mwa nchi 10 maskini zaidi duniani
Hawa ndo wamewaambukiza ndugu zao Wanyakyusa tabia ya kushinda makanisani
....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom