Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Pia ni miongoni mwa nchi yenye idadi kubwa ya watu dunianiAisee ni wengi sana
......
Pia ni miongoni mwa nchi yenye idadi kubwa ya watu dunianiAisee ni wengi sana
Pamoja sana Mkuu1/Niger
Taifa hili la Afrika Magharibi lina idadi kubwa ya Waislamu karibia 94% ya wananchi wote![]()
Idadi kubwa Waislamu wa dhehebu la Sunna, kuna Wakristo kiduchu
Juzijuzi Rais wa Niger alilitangaza Taifa kuwa ni la Kiislamu Hivyo linaongozwa kwa kufuata misingi ya uislamu
Karibia 100% ni wafia dini sasa ole wako kipindi cha mfungo wa Ramadhani ukutwe unatafuna mahindi kitaani
Tukutane kesho
Mwisho
................
mimi nipo poasafii za ww
haha..h3/[b[Malawi[/b]![]()
![]()
Dini juu ni Ukristo ila kuna idadi ndogo pia ya Waislamu,Wayahudi,Wabaha na Narastafarah
99% ni watu wa dini ....sijui wanafanya kazi saa ngapi maana Malawi ni miongoni mwa nchi 10 maskini zaidi duniani
Hawa ndo wamewaambukiza ndugu zao Wanyakyusa tabia ya kushinda makanisani
....

mm huwa naonana nae sana baba paroko hata mda mfupi uliopita nilikua nae chit chat ila zimefika asanteWakuu habari za muda,nimepewa salamu zenu kutoka kwa SAKAYO kaniambia anawapenda sana na amewamiss wadau
Transcend
Kaka Q
Nyagei
Mandali
Lee empire
Shunie
Mondray
Vale
musolini
Mlinzi wa shunie nae
Behaviorist
Bitoz
Werason
Shedede
Shululu
Mama mchungaji
Cley
Jovitha
Nyoka mzee
Ravy
Shimba buyenze
Na mwisho usijisahu mwenyewe Toxic9 aka baba paroko
asnte kwa top 10 mkuu madenge1/Niger
Taifa hili la Afrika Magharibi lina idadi kubwa ya Waislamu karibia 94% ya wananchi wote![]()
Idadi kubwa Waislamu wa dhehebu la Sunna, kuna Wakristo kiduchu
Juzijuzi Rais wa Niger alilitangaza Taifa kuwa ni la Kiislamu Hivyo linaongozwa kwa kufuata misingi ya uislamu
Karibia 100% ni wafia dini sasa ole wako kipindi cha mfungo wa Ramadhani ukutwe unatafuna mahindi kitaani
Tukutane kesho
Mwisho
................
HahahahaMama mchungaji umetisha
hahahha shemela shululu ukuje usikie habari za saa tulikua tuna wasi wasi sana kuhusu saa
acha tu binamu kapuku n zaidi ya familia mwenyewe nikiwa sijalog in huwa nawamiss sana kapuku wote
hahah..umemkuta wapiWakuu habari za muda,nimepewa salamu zenu kutoka kwa SAKAYO kaniambia anawapenda sana na amewamiss wadau
Transcend
Kaka Q
Nyagei
Mandali
Lee empire
Shunie
Mondray
Vale
musolini
Mlinzi wa shunie nae
Behaviorist
Bitoz
Werason
Shedede
Shululu
Mama mchungaji
Cley
Jovitha
Nyoka mzee
Ravy
Shimba buyenze
Na mwisho usijisahu mwenyewe Toxic9 aka baba paroko
binamu naanzaje mm kukuchafulia cv tunavyokupenda ni mukongo ndio kakupiku binamu
Mbeya kila baada ya km fulani Apostoic.mchungaji mheshimiwa Mwamfupe sijui wanaendeleaje kule kwa sasaKuna kipindi walikuja juu sana kwa Tanzania, walikuwa wanamwaga pesa na kujenga makanisa, baada ya wabongo kuwachakachua nao wakapotea
Asante sana mkuu Bitoz kwa top 10 za dini nimejifunza mengi ubarikiweSi ushayaona
Pamoja
.......

Mimi nilijua labda saa imeibiwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Binamu mbona imekataa kuplay Carlos Santana mzee wa maria maria
Asante msalimie sanaWakuu habari za muda,nimepewa salamu zenu kutoka kwa SAKAYO kaniambia anawapenda sana na amewamiss wadau
Transcend
Kaka Q
Nyagei
Mandali
Lee empire
Shunie
Mondray
Vale
musolini
Mlinzi wa shunie nae
Behaviorist
Bitoz
Werason
Shedede
Shululu
Mama mchungaji
Cley
Jovitha
Nyoka mzee
Ravy
Shimba buyenze
Na mwisho usijisahu mwenyewe Toxic9 aka baba paroko
Hatujui kama aliiba kweli,Mungu ndie atamuhukumu ndugu yanguRIP ndugu mwizi