Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
mmmh mkuu midolali iyoUtanipa stroke ukianza kuiwazia saa yangu mambo ya namna hii. Hivi umeshindwa nini kuwaza tu kuwa mkanda wake wa gold niubadilishe niweke diamond.🙁
mmmh mkuu midolali iyoUtanipa stroke ukianza kuiwazia saa yangu mambo ya namna hii. Hivi umeshindwa nini kuwaza tu kuwa mkanda wake wa gold niubadilishe niweke diamond.🙁
NimeipendaUtani kando, kiukweli hii saa ni lazima muwe na wasiwasi, hebu fikiria saa yenyewe kukiwa na giza inatoa kimwanga fulani hivi amazing wala haka agonize , halafu si nilikwambia ni ya mshale na nakuongezea kingine, ina kiufungua, ukikivuta unarekebisha muda, ukikivuta kidogo tu ukarudisha nyuma, unarekebisha tarehe
Jamani,hili jambo !!!!hapa ndo namkumbuka lee empire , mjomba wangu huyu tungekaa bar kama kamati tujadili hili jambo maana kiukweli moyo umeumia sana. Lakini hakuna noma, roho yake ndo mwamuzi , kama kaoteshwa au hakuota basi nawatakia maisha mazuri.
Ila wakiachana kwa talaka anajua wapi pa kuja
ahhahhahah binamu ukiongea habari za saa unatufurahisha sanaUtani kando, kiukweli hii saa ni lazima muwe na wasiwasi, hebu fikiria saa yenyewe kukiwa na giza inatoa kimwanga fulani hivi amazing wala haka agonize , halafu si nilikwambia ni ya mshale na nakuongezea kingine, ina kiufungua, ukikivuta unarekebisha muda, ukikivuta kidogo tu ukarudisha nyuma, unarekebisha tarehe
hahaha binamu lee ana umuhimu mkubwa sana yaan namuombea arudihapa ndo namkumbuka lee empire , mjomba wangu huyu tungekaa bar kama kamati tujadili hili jambo maana kiukweli moyo umeumia sana. Lakini hakuna noma, roho yake ndo mwamuzi , kama kaoteshwa au hakuota basi nawatakia maisha mazuri.
Ila wakiachana kwa talaka anajua wapi pa kuja
Wazo zuriUtanipa stroke ukianza kuiwazia saa yangu mambo ya namna hii. Hivi umeshindwa nini kuwaza tu kuwa mkanda wake wa gold niubadilishe niweke diamond.🙁
me natumia simuOh, too bad, hebu irefresh tena window yako, mimi natumia desktop na inacheza vizuri.
Maria maria ni bonge la wimbo la wakati wote, kuna wakati ukilisikiza gitaa hili mida ya vikojozi unaweza kukaa masaa mawili bila kukojoa
Binamu kumbe saa ni ya gold pureeUtanipa stroke ukianza kuiwazia saa yangu mambo ya namna hii. Hivi umeshindwa nini kuwaza tu kuwa mkanda wake wa gold niubadilishe niweke diamond.🙁
Utungimapembelo wawene dada vane![]()
![]()
![]()
Jamani,hili jambo !!!!


mama mchuchu binamu yangu namuonea huruma ujueNzuri afande shededehabar za saa hii jamii yangu ??
Nyagei za jioniHadithi yake inafanana na series ya Shooter
Malawi wametisha3/[b[Malawi[/b]![]()
![]()
Dini juu ni Ukristo ila kuna idadi ndogo pia ya Waislamu,Wayahudi,Wabaha na Narastafarah
99% ni watu wa dini ....sijui wanafanya kazi saa ngapi maana Malawi ni miongoni mwa nchi 10 maskini zaidi duniani
Hawa ndo wamewaambukiza ndugu zao Wanyakyusa tabia ya kushinda makanisani
....
Wabudha nawapenda sana2/Sri Lanka![]()
![]()
Hili ni Taifa la dini mchanganyiko ila Wabudha ndo wanetawala
Kuna Wakristo , Waislamu na Wahindu kiduchu
99% wanaamini katika Mungu na wanashirika ibada vilivyo
........
Asante bitoz kwa top ten1/Niger
Taifa hili la Afrika Magharibi lina idadi kubwa ya Waislamu karibia 94% ya wananchi wote![]()
Idadi kubwa Waislamu wa dhehebu la Sunna, kuna Wakristo kiduchu
Juzijuzi Rais wa Niger alilitangaza Taifa kuwa ni la Kiislamu Hivyo linaongozwa kwa kufuata misingi ya uislamu
Karibia 100% ni wafia dini sasa ole wako kipindi cha mfungo wa Ramadhani ukutwe unatafuna mahindi kitaani
Tukutane kesho
Mwisho
................
NimeyaonaSi ushayaona
Pamoja
.......
Ndio maana yakemh shemela ukimaanisha anaweza kufanya
Pia hakuna kugonganaNi mwendo wa kula mboga za majani RU ..hakuna kuchinja mnyama nasikia
.....