Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
aisee shikuba ameshapelekwa marekani
Kumbe ni rahisi tu kwa Mtanzania kuwa extradited kwenda Marekani kujibu mashtaka? Vice versa pia inawezekana?
aisee shikuba ameshapelekwa marekani
Nothing is worth life,na wauaji hawatakuwa na amani milele ndio kitu watu hawajui kuhusu kuchukua uhai wa mtu hata kama ni mhalifuJamii yetu ni ya kushangaza sana. Ukiiba kuku unapigwa mawe mpaka kufa lakini ukifisadika na kuiba mamilioni/mabilioni ya shilingi unasifiwa kuwa we ni mtoto wa mjini. Mf. baada ya kutimuliwa uwaziri wa miundo mbinu baada ya ule ufisadi wa rada mzee wa vijisenti alipokelewa Usukumani kama shujaa. Na mafisadi waliogawana yale mamilioni "ya mboga" si wapo tu wanadunda mitaani. Lakini huyu masikini kaiba kuku kahitimishwa laivu. Mkanganyiko!![]()
RIP ndugu.Jamii yetu ni ya kushangaza sana. Ukiiba kuku unapigwa mawe mpaka kufa lakini ukifisadika na kuiba mamilioni/mabilioni ya shilingi unasifiwa kuwa we ni mtoto wa mjini. Mf. baada ya kutimuliwa uwaziri wa miundo mbinu baada ya ule ufisadi wa rada mzee wa vijisenti alipokelewa Usukumani kama shujaa. Na mafisadi waliogawana yale mamilioni "ya mboga" si wapo tu wanadunda mitaani. Lakini huyu masikini kaiba kuku kahitimishwa laivu. Mkanganyiko!![]()

binamu naanzaje mm kukuchafulia cv tunavyokupenda ni mukongo ndio kakupiku binamuLol! Kumbe aisee, kwa hiyo aliyenipiku ni mtu wa ibada au ndo kama mimi tu?
Afu umejuaje auntie au ndo umeshiriki kunichafulia CV? Ila nakuaminia huwezi niharibia.
Ngoja tusubiri kipindi cha pili😉
hahahha shemela shululu ukuje usikie habari za saa tulikua tuna wasi wasi sana kuhusu saaNiliku/wamiss sana kikweli, no jokes. Nyie ni family for sure.
saa haiwezi kuibiwa labda wanikate mkono, mkanda wa saa ilibidi niubadili sasa una uwezo wa kuweka kijikufuri kidogo.
Hii habari mbaya , hebu tulia kwanza usinipe wakati una kimuhemuhe. Nitangulize pole kabla sijaisikia
Habari Makapuku wenzangu.
Nilipotea kidogo kufuatilia masuala ya kijamii zaidi, nipo na nimerudi na nguvu, ari na kasi ile ile ya zamani.
katika kijisegement hiki cha nyuzi aka gitaa katika muziki leo tuwaangalie magwiji wawili kwa mpigo, Carlos santana na george benson. hawa wote ni magwiji wa gitaa na carlos kwa mfano, ni mmoja kati ya wapiga gitaa maarufu duniani kwa sababu huwa anachanganya sty;le ya gitaa ya Kilatin, Afrika na America kwa pamoja.
Wote wana tuzoo 10 katika kazi zao za muziki ikiwemo tuzo za Grammy.
Hebu tuwaangalie hapa wakiperform wimbo wa George Benson 'Breezin'
Tukijaariwa tutamwangalia Vumbi Dekule Kahanga.
Nyagei najua unampenda Benson
Aisee huyu jamaa sio mzimaWaligoma kumwimbia "Happy birthday to yuuuu" Shunie wake kwenye party jamaa akaamua kuwalima risasi. Alifanikiwa kuua wawili.![]()
Mimi nilijua labda saa imeibiwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


habari za saa umezisikia shemela haiwezi ibiwa
inasikitisha sanaJamii yetu ni ya kushangaza sana. Ukiiba kuku unapigwa mawe mpaka kufa lakini ukifisadika na kuiba mamilioni/mabilioni ya shilingi unasifiwa kuwa we ni mtoto wa mjini. Mf. baada ya kutimuliwa uwaziri wa miundo mbinu baada ya ule ufisadi wa rada mzee wa vijisenti alipokelewa "Koromije" kama shujaa. Na mafisadi waliogawana yale mamilioni "ya mboga" si wapo tu wanadunda mitaani. Lakini huyu masikini kaiba kuku kahitimishwa laivu. Mkanganyiko!![]()
mama mchuchu jamaan mpk avatar wanakubadilishia hujui mama angu kubadiliKuna mjukuu kabadili hapa ngoja waje sasa
Lee hawezi kufanya hivi watu wakigoma kukuimbia "Happy birthday to yuuuu!"? Kwa wivu ule aisee everything is possible!Aisee huyu jamaa sio mzima
Ndiyo hivyo dear ilinichuku mwaka kuweka aliyeniwekea yuko shule ,sasa leo wataalamu wamerekebisha hata sijui pa kuanziamama mchuchu jamaan mpk avatar wanakubadilishia hujui mama angu kubadili
Asante sana nipo hapa nasimamia udhamini wangu,asante kuniwazia mema ,kweli siku moja nitdhamini haya mambo yetu na mengine mengi ubarikiweTOP TEN
wakuu leo kwa udhamini wa Mama Mchungaji nawaletea nchi kumi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu
Saudi Arabia ibafahamika km nchi ta Kiislamu na kutumia sheria za Kiislamu(Sharia) lakini 10 bora pia Brazil inafahanika kwa kuwa na idadi kubwa ya Wakristo Wajatoliki lakini mayo haipo haipo maana sio kila anayeitwa Ally ni muislamu wa swala tano au John kila jumapili anaenda kanisani na kuamini Yesu ni mwokozi
Hapa tunaanhalia nchi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu haswa
Karibuni
.........
hahahha lee hawezi kufanya hivyo huyo jamaa sio mzimaLee hawezi kufanya hivi watu wakigoma kukuimbia "Happy birthday to yuuuu!"? Kwa wivu ule aisee everything is possible!
sante tupo tunasubiliTOP TEN
wakuu leo kwa udhamini wa Mama Mchungaji nawaletea nchi kumi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu
Saudi Arabia ibafahamika km nchi ta Kiislamu na kutumia sheria za Kiislamu(Sharia) lakini 10 bora pia Brazil inafahanika kwa kuwa na idadi kubwa ya Wakristo Wajatoliki lakini mayo haipo haipo maana sio kila anayeitwa Ally ni muislamu wa swala tano au John kila jumapili anaenda kanisani na kuamini Yesu ni mwokozi
Hapa tunaanhalia nchi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu haswa
Karibuni
.........
hahahaha mama angu nacheka kama mazuri nakupenda sana mama mchuchu unanifurahisha sana.Ndiyo hivyo dear ilinichuku mwaka kuweka aliyeniwekea yuko shule ,sasa leo wataalamu wamerekebisha hata sijui pa kuanzia
aisee8/Bangladesh
Taifa hili lipo huko barani Asia![]()
88% ni Waislamu...ndio Taifa la kwanza kwa kuwa na Jamii kubwa ya Waislamu duniani
Uislamu ndio dini kuu ya Bangladesh
93 ni watu wa swala tano
.......