Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Namshkuru Mungu mama mchuchu nimeamka salama hope baba mchuchu wetu nae ameamka salamaMarahaba Shunie umeamkaje,vipi hali yako Mungu akubariki sana

Ni kweli,hata nyumbani ni muhimu kuwapangia watoto majukumu.
AiseeNUKUU YA LEO
Every person i killed i strongly believe that they were bad. when i do go face God there is going to be lots of things i will have to account for but killing any of those people is not of them.
kila mtu niliyemuuwa ninaamini kwa dhati kuwa walikuwa ni watu wabaya. Nitakapokwenda Kumuona Mungu uso kwa uso kuna mengi sana ya kuwajibishwa ila hili kwa hili la kuuwa watu sio miongoni mwao.
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwanajeshi na mdunguaji wa kimarekani na mwanakikosi wa Navy seal Team 3 Bw. Christopher Scott Kyle aliyezaliwa April 8 1974 huko Texas marekani na kufariki 2 Feb 2 2013 huko huko Texas marekani.
Kyle alizaliwa katika familia ya kifugaji huko Texas, baba yake Kyle alimnunulia kyle silaya yake ya kwanza ( rifle) wakati chris kyle akiwa na umri wa miaka 8 tuu. Baadaye alimnunulia shutgun kwa ajili ya kuwinda na kuchunga zaidi ya mifugo 150 huko Texas nchini marekani.
Baada ya shule ya kati, chris alijiunga na jeshi na moja kwa moja akapelekwa kujunga na special forces, ambapo mwaka 1999 alijiunga na SEAL TEAM 3. Chris amepigana vita ya iraq akiwa kama sniper/mdunguaji wa kikosi cha seal.
Chris kyle amechukua medani 3 za kijeshi kwa kazi aliyofanya akiwa iraq, na pia amekuwa na cheo cha Chief pretty officer hadi mauti ilipomkuta,Chris kyle anashikilia rekodi ya kuwa mdunguaji aliyeuwa watu wengi zaidi katika jeshi la marekani, kyle katika kitabu chake cha record kule vitrani iraki, kinaonyesha ameuwa watu 150 japo pentagon waaamini ameuwa watu 160 ukitoa wale ambao hawakusabiwa wakati wa mauaji ya haraka haraka.
Chris kyle anaamini alifanya kazi yake vizuri ila aliumia sana pale aliposhindwa kuokoa wanajeshi wenzie, watoto na watu wasio na hatia na kuona wakifa mbele yake bila msaada.Kyle akiwa mtoto aliwah kuamini yeye lazima awe mwanajeshi ama awe mchungi( cowboy) kazi ambayo aliifanya kabla ya kujiunga na jeshi.
Kyle aliuliwa na mwanajeshi mstaafu wa marekani Eddie Ray Routh wakiwa wametoka range, Eddie alikuwa na matatizo ya akili na alishatoka hospitalini hapo awali, kwenda range ilikuwa ni njia ya kumsaidia kurudia hali ya kawaida, ila kabla ya hayo akatumia bastola ya chris kumuuwa chris na rafikiye mwingine Chad Littlefield.
Klye atabaki kuwa shujaa kwa marekani na kwa wadunguaji wote duniani.
R I P mzee wa M24 Sniper Weapon System(sws).
R.i.pNUKUU YA LEO

Shedede Asante kwa kuyasomamkuu asante kwa magazeti ya asubuhi
Wako wengi pia
Poa poa kabisakamaida ajeh cool-inspector
Wanakuwa active sana ukiwafanyisha kaziNi kweli,hata nyumbani ni muhimu kuwapangia watoto majukumu.
Hata shopping ni kariakoo,huo mji wa kibaha bado haujaweza kufanya mambo yake mengi wenyewe,hata ndoa nyingi zinafungwa sherehe kumbibza Dar,bado kuna safari ndefu.Kibaha mkoani, lazima nije dar kutembea
thawa cool-inspectorShedede Asante kwa kuyasoma
Ni kazi lakini ,ula kwakuwa kifungo jinapungua sawa
Pamoja baby wanguR.i.p
asante kwa kunukuu T
Pamoja mkuuAisee
Nahuduma huwa ni nzuri
Na ni zuri
Wanajihami zaidi
Good good mama mchungaji habari za wewe na familia!Ni kweli,hata nyumbani ni muhimu kuwapangia watoto majukumu.
Hujambo mtu wangu shunie,msalie shemu lee empireNamshkuru Mungu mama mchuchu nimeamka salama hope baba mchuchu wetu nae ameamka salama
Nyie watu nyie siwawezi!!Naye alipotea sana bila taarifa
Asante sanaNikitulia nitawapeni dondoo juu ya John Riber na bongo movies.