Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,988
Mkionana basi natuma upako ukawafunike na isiwe kuonana tu bali mjiongezeVery soon mkuu,nitafurahi kukuona![]()
Mkionana basi natuma upako ukawafunike na isiwe kuonana tu bali mjiongezeVery soon mkuu,nitafurahi kukuona![]()
Watu wa humu humu ndio wamemfanya asepe !Kwanini chief T,usimnyime uhuru banah umemkataza ehh,plz mrudishe banah kama kuna mtu amemkwaza aseme hapa ili baraza letu la maadili litoe adhabu
Shunie...sijambo baba paroko za ww za masiku mingi
hahahha lee yupo porini baba paroko anatafuta hela![]()
wewe jichekeshe tu,lee yupo wapi nae
Khaaaa baba paroko ww huyo mama yetuMkionana basi natuma upako ukawafunike na isiwe kuonana tu bali mjiongeze
Abee T wa dadaShunie...
Aiseeeeeh mbona humu ndani makapuku classic ni full amani au watu wanamfuata PM huko ndiyo walipo mkimbiza dada yetu sakayo,poa poa chief cha msingi huko alipo ana amani ila nitamtafuta pia tuone ni wapi amekwazikaWatu wa humu humu ndio wamemfanya asepe !
Sio mimi wala..! Nadhani ni bora akakaa sehemu ambapo anapata amani.
Kwanini hujaenda nae?au porini hakuna mood ya kale kamchezohahahha lee yupo porini baba paroko anatafuta hela
Ahhhh jamani kwani kujiongeza kuna ubaya ehhhKhaaaa baba paroko ww huyo mama yetu
Usikondemkionana jaman mnitumiepo kapicha
Huko porini akija,zitakuwa zimejaa guniahahahha lee yupo porini baba paroko anatafuta hela
huko ni kazi tu kamchezo mpk akirudi homeKwanini hujaenda nae?au porini hakuna mood ya kale kamchezo
kuna ubaya ndio kwa mama mchuchuAhhhh jamani kwani kujiongeza kuna ubaya ehhh
nimemwita sana kuhusu nimeshindwa mm ata nje ya jf nimeshaongea nae sana kuhusu kuja huku hatakiNiitie dada yako...
Call her right now
Huko porini akija,zitakuwa zimejaa gunia



shemela muache mume wangu ana kamsemo kake nina genye si za nchi hii yule mtu ni shiidakuna ubaya ndio kwa mama mchuchu
mama mchuchu ndiyo jina lake la siku hizi sio mama mchungaji tena
hapana ni mama mchungaji sema mm napenda kumuita hivyo kiufupi![]()
mama mchuchu ndiyo jina lake la siku hizi sio mama mchungaji tena
Atakuja tu, tuachea wazee wa kanisa,viongozi wa dini tuna ushawishi katika kila jambo...nimemwita sana kuhusu nimeshindwa mm ata nje ya jf nimeshaongea nae sana kuhusu kuja huku hataki