shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kwa dar mvua imeamuaMkuu iko vizur jua tu
Kwa dar mvua imeamuaMkuu iko vizur jua tu
Binamu obeeeee we miss u, saa haijapotea kweli wakakuibia huko bakurutu yaan kuna habari mbaya binamu yangu hata sijui nitaanzia wapi kukwambiaHoping anaendelea vizuri, alisema alikuwa nazi, sijui ni mbichi au wali/maharage nazi?
Mornie shemelaMorning makapuku, magazeti ya leo yatawaijia hivi punde
kweli tanzania ya viwonder wanauza tena tbl
Morning shemelaMornie shemela
aisee shikuba ameshapelekwa marekani
Njema mkuu, u hali gani?Mkuu habr ya kuamka
Kijana wanguBaba mchungaji
Mungu amfanyie wepesi max kwenye kesi yake
huyo bwana harusi sijui kakimbiaje
binamu masikini nakuonea huruma watu wamekupikuNipo sana BlessedHope , asante. Hujanisikia sababu Mei mosi sisi watu wa kamati tulikuwa tunamalizia vinywaji.
Hujambo lakini mpendwa/mpenzi
asante shemela kwa magazetiView attachment 503901Mpaka hapo sina la ziada kwa udhamini mnono wa baba mchungaji, tukutane tena kesho
teh.....nashukuru, alishanipa sema tu niliyepewa hajaoneshwa.
Mwisho wa segment moja ndio mwanzo wa segment nyingine.
Kwa ushirikiano mnono kabisa wa BlessedHope na Obe (Jorowe)
Tunakwenda kupata Unbelievable Fact (UF)





.....huwa unatumia kinywaji gani 😀
asante nyagei kwa uf
ila baba mchungaji unamjua ujue jana mama mchungaji alimtajaNamkumbuka ndege aitwae jorowe
Jivunie, ila mama mchungaji amepeza sana muziki mzuri wako
Baba mchuchuAmen Mama Mchungaji
hahahha baba mchuchu umefurahii kuitwa na mama mchuchu![]()
Hallelujah
sawa mussolin pole na majukumuLeo sitaleta kipengele cha " Leo katika Historia "
Kama kuna mtu yuko tayari anaweza akanisaida.