Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Shukrani mkuu shululu kwa magazetiView attachment 503901Mpaka hapo sina la ziada kwa udhamini mnono wa baba mchungaji, tukutane tena kesho
Ubarikiwe uwe na siku njema
Shukrani mkuu shululu kwa magazetiView attachment 503901Mpaka hapo sina la ziada kwa udhamini mnono wa baba mchungaji, tukutane tena kesho
Bashite anaandikwa na tanzania daima kwani wao hawakuambiwa wasimwandike
JoroweHa ahahahaha, mtaasisi- hili sasa limedorora baada ya hii kadhia ya vyeti feki. Saa hizi njiita Jorowe
Salama tu kamanda mkuuMmeamkeje humu ndani
Kwema kabisakwema mji huu ??![]()
![]()
![]()
Umeamkeje => umeamkajeMkuu umeamkeje
Asante mkuuView attachment 503901Mpaka hapo sina la ziada kwa udhamini mnono wa baba mchungaji, tukutane tena kesho
Niko poaTuko pamoja mmojammoja sana mdau.
Za kupotea ni nzuri tu, namshukuru Mungu, vipi wewe
Pamoja sana nyoka mzeeShukran kwa mag@zeti
Mkuu habr ya wewe na asante kwa magazetMorning mama mchungaji
Jorowe
Salama kabisa, vip familyMmeamkeje humu ndani
Kwema kabisakwema mji huu ??![]()
![]()
![]()
Mwisho wa segment moja ndio mwanzo wa segment nyingine.View attachment 503901Mpaka hapo sina la ziada kwa udhamini mnono wa baba mchungaji, tukutane tena kesho
Mwisho wa segment moja ndio mwanzo wa segment nyingine.
Kwa ushirikiano mnono kabisa wa BlessedHope na Obe (Jorowe)
Tunakwenda kupata Unbelievable Fact (UF)