Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu habr ya kuamkaAmen![]()
Mkuu habr ya kuamkaAmen![]()
Baba mchungaji
Hakuna?Hamna
VizuriYanaenda kama mungu alivyo panga
AsanteVizuri
Mkuu iko vizur jua tuVipi weather huko?
Sawa mkuu ubarikiwe,itabidi tujifunze kuandaa hivi vitu,Mungu atusaidie tuwe na skills tofauti za kuwezesha haya mambo,mimi nitaomba ukipata nafasi unielekeze namna ya kupata niwe nasaidia wakati mngine,ubarikiwe mkuuLeo sitaleta kipengele cha " Leo katika Historia "
Kama kuna mtu yuko tayari anaweza akanisaida.

Umeona ee jana uligundua sikupenda kabisa habari ya mtoto kuvuta sigara na kubehave vile Mungu kamsaidia amepona![]()
Hallelujah

Asante kwa kutushirikisha mimi na Obe kudhamini segment hii ubarikiweMwisho wa segment moja ndio mwanzo wa segment nyingine.
Kwa ushirikiano mnono kabisa wa BlessedHope na Obe (Jorowe)
Tunakwenda kupata Unbelievable Fact (UF)
Leo tutaangalia zaidi vilevi twende sawa
![]()
Ameen mama mchuchu asante kwa sala ya asbhZABURI 46
1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Mungu kwetu ndiyo kimbilio katika kila shida mkimbilie yeye
atakupa msaada ambao hujawahi pata mahali popote.
simama imara katika imani yako.
Omba kwa bidii.
Jitie nguvu kuwa unaweza kumuomba Mungu lolote naye atakutia nguvu ambayo hujawahi kuipata maishani mwako.
Ni yeye alikuumba.
Anajua idadi ya siku zako hapa duniani.
Anajua mahitaji yako yote
Anajua kuingia kwako na kutoka kwako.
Mkimbilie yeye.
Atakutia nguvu.
Atakupa msaada.
Mateso yatakoma.
TUOMBE:
Baba wa mbinguni asante kwa siku mpya ya leo,asante kwa kutuamsha salama tukiwa wazima na afya njema,karibu majumbani mwetu Baba,makazini mwetu,kwenye mashamba yetu,kwenye biashara zetu,kwenye ndoa zetu,kwenye uchumba,kwenye masomo,mawazoni mwetu,linda mifugo yetu Baba mwema.
Ponya wagonjwa Baba kwa namna ya pekee tunamkumbuka Mondray mkono wako ukamguse umponye awe mzima mwili na roho.
Farijiwafiwa,tunawaombea marehemu wote wapumzike kwa amani,waongoze wasafiri nchi kavu,majini na angani wafike salama,bariki vijana wetu wote kidato cha sita wanaoendelea na mitihani wakumbushe yote Baba mwema,wasaidie wenye mashaka na changamoto mbalimbali wakumbatie Baba waondoe mashaka wape nguvu mpya.
Tuimarishe tukupende,tukuheshimu,tukutegemee,tukutwishe fadhaa zetu ni wewe peke yako ambaye una jibu la maswali yetu yote.
Asante Baba kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako,tunaomba yote katika jina la Yesu Mpatanishi na mwokozi wetu Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA
MBARIKIWE SANA![]()
![]()
![]()
![]()
ubarikiwe sanaPako poa kabisaWako poa mkuu habari ya hapo kwa nyumba
jana ulikua hauna raha mama mchuchuGlory to God,haleluya
There is always a turn arround with God nafurahi sana kusoma habari hii ilinitesa sana jana nimekuwa namuombea kumbe Mungu alishafanya jambo
Cc:Werrasson
Cc:Shunie
Ubarikiwe sana Nyagei![]()
Mpe pole sana ila mgonjwa yule huku na maumivu huku busy jfKwa sasa anaendelea vizuri sio kama ilivyokuwa usiku
mbona jana alisema anaelekea hospitalKwa sasa anaendelea vizuri sio kama ilivyokuwa usiku, baadae atapelekwa hospital
Pamoja sana mkuuAsante mkulu
ata sisi tulishangaa ana roho ngumu Mungu amponyeRay mgonjwa wa ajabu sana,kuvumilia maumivu na kuja kuchat tena,kaanzisha na thread ya kuwapondea madj wa arusha. Yale maumivu sijui alikua anayapoozaje.
umeshaingizwa kwa groupalipatwa na nini???
Siku zote hazifanani mkuu, tupo pamojaLeo sitaleta kipengele cha " Leo katika Historia "
Kama kuna mtu yuko tayari anaweza akanisaida.
Ameen huyu ndio mama yetu wa kirohoAm fine kabisaa. Nashukuru jukwaa lina mama mchungaji,maneno yake na shuhuda zake zinanisaidia sana tu. Mbarikiwe wote.