Obe upo?sijakusikia,ubarikiwe sana![]()
Sijambo namshukuru sana Mungu vipi hali yako,majukumu,changamoto.Mungu akupe kila kilicho chema sawa na mapenzi yake karibu sana mpendwaNipo sana BlessedHope , asante. Hujanisikia sababu Mei mosi sisi watu wa kamati tulikuwa tunamalizia vinywaji.
Hujambo lakini mpendwa/mpenzi

Amekusikia mtaasisi
Asante sana kwa magazeti mkuu Shululu kazi yako ni njema ubarikiwe sanaView attachment 503901Mpaka hapo sina la ziada kwa udhamini mnono wa baba mchungaji, tukutane tena kesho

Alikuwa anagombea jimboalikua anataka kuwa baba mchuchu

Morning mama mchungajiMorning mkuu,Asante Shululu
Anataka tumwombee wakati alafu anaagahahahhh yaan we mndali maswali yako
Sijambo namshukuru sana Mungu vipi hali yako,majukumu,changamoto.Mungu akupe kila kilicho chema sawa na mapenzi yake karibu sana mpendwa![]()
Shukran kiongoziiiLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Anataka tumwombee wakati alafu anaaga