Ngoja tutege masikioHapa kwa kigogo nasubiri watasema nini maana imeonekana vyeti havihusiki na utendaji wake wa kazi
Sawa mkuuha ahhahaha, sasa ulitaka akae asikize maombi yetu, si angechanganyikiwa bure au kuumwa kichwa. Fikira wengine tunaomba tukiwa tingasi, wengine wanawaza kodi ya pango, wengine mshahara haujatoka, nway bora kajiagia mapema Mondray
Mkoa wa pwaniZa mkoani nzuri, mvua ipo
Namkumbuka ndege aitwae joroweYeah, si unajua ukiwa na vyeti halali kwa wanasiasa haramu kwa wataasisi lazima uwe jorowe
Kwema mkuukwema mji huu ??![]()
![]()
![]()
Castle lite ndio nikipendacho.....huwa unatumia kinywaji gani 😀
Asante kamandaSalama tu kamanda mkuu
Nimekumiss pia,umeadimika MMuMuda ule anaanzisha ule Uzi alikuwa poa
Sawa ntamuweka kwenye maombi yanguNumbisa upo nimekumic
Anahitaji maombi numbisa
Umeamkeje => umeamkaje
BTW nimeamka salama tu kamanda

mambo yanakwendaje kiongoziiiKwema mkuu
Wako poa mkuu habari ya hapo kwa nyumbaSalama kabisa, vip family
Ngoja tutege masikioHapa kwa kigogo nasubiri watasema nini maana imeonekana vyeti havihusiki na utendaji wake wa kazi
Bashite anaandikwa na tanzania daima kwani wao hawakuambiwa wasimwandike