Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
eeh kumbe uliona ile thread mi nashangaa kaanza kuumwa lini
Ray mgonjwa wa ajabu sana,kuvumilia maumivu na kuja kuchat tena,kaanzisha na thread ya kuwapondea madj wa arusha. Yale maumivu sijui alikua anayapoozaje.
WAFILIPI 4
MUNGU AWABARIKI MLALE SALAMA