Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Nitaenda mkuuNenda aisee ujionee mji ulivyo mzuri
Nitaenda mkuuNenda aisee ujionee mji ulivyo mzuri
We ni Msambaa kumbeeeeehalaf nakumbuka lushoto kwetu ndio ulikua unapatikana kwa wingi
Afandeeewakuu habar zenuu

Za kupotea maana tulikumiss...Safituu
NdiooooWe ni Msambaa kumbeeeee
team ronaldoTeam R.madrid![]()
Mi sio mwoga mkuuNenda usiogope Mndali
pole sana uzingatie kufata masharti yakeWandugu nipo hoi jamani..
Naandika hivi ila nina hali mbaya ya afya
Seriously nipo nalia ajili ya vidonda tumbo vimeniamkia usiku huu..
Daaah naumia mwenzenu..
Nipo na hali mbaya sana nasikia kama tumbo limetoboka au utumbo kukatika..pole sana uzingatie kufata masharti yake
kunywa maziwa ya moto pole sanaNipo na hali mbaya sana nasikia kama tumbo limetoboka au utumbo kukatika..
We mkuu siwezi kusahau ileje hata iwejeUnataka aisahau Ileje
Ahsante sana kwa ushauri..kunywa maziwa ya moto pole sana
Wa mlalo au bumbuli?Ndioooo
Pole sanaWandugu nipo hoi jamani..
Naandika hivi ila nina hali mbaya ya afya
Seriously nipo nalia ajili ya vidonda tumbo vimeniamkia usiku huu..
Daaah naumia mwenzenu..
Pamoja mkuuHakika
Vizuri sanaMi sio mwoga mkuu
Wahi hospital kwanzaNipo na hali mbaya sana nasikia kama tumbo limetoboka au utumbo kukatika..