Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/The Deadliest Earthquake
e746968577c580241694780dec537e3e.jpg
252920969ed7c604a55b03c994a8dade.jpg
Tetemeko hili lilitokea July 1201 huko Misri na Syria.liliua mamilioni na kusababisha uharibifu mkubwa kuwahi kutokea duniani

Mwisho
.....
Asante kwa Top Ten mkuu..

Mwisho:

Wenzetu wameweka mikakati mingi sana ya kuji-back up wakipatwa na haya matatizo

1. VIMBUNGA NA MATETEMEKO YA ARDHI

-Nyumba zinajegwa kwa mbao kuepuka maafa makubwa..

-Structurally, Timber zinatumika sana manake ni light material ukilinganisha na Zege/matofali au chuma.

- kuna vikundi na vifaa vya kutosha vya Kufanya Rescue

-Kumekuwepo na redisign Master plans za miji na kuepuka maeno yote Hatarishi kwa vimbunga na matetemeko ya Ardhi.

-Kumekuwepo na mamlaka na kuchunguza na kupridict kutokea kwa haya majanga na hivyo kutoa Tahadhari mapema.


2. NJAA ,UKAME NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA

-WAmekuwa watu makini na uharibifu wa mazingira, hawa jamaa wanavyanda vingi kushinda sisi ila mazingira yao ni mazuri kutushinda sisi.

-Wameweka mifumo mizuri ya uzalishaji wa chakula na kucontrol population

Yaani uzalishaji unaendana sawa na ukuaji wa watu..

Mfano ni china na Japan

-Tumeona system nyingi za usindikaji wa vyakula na uzalishaji wa vyakula vya Muda mfupi.. km kuku, mchele n.k



3.AFYA / MAGONJWA

-Kumekuwa na Chajo kubwa sana kwa mataifa yaliondelea hasa Asia na Ulaya.

Magonjwa mengi sana yanatolewa chanjo.

-wanalishe nzuri na wako makini na afya zao.

-Wahadhiri na wanasayansi wamefanya reseach/ tafiti juu ya magonjwa na kuapatia ufumbuzi..

Huku Tz wanakimbilia bungeni

-Wameweka Taratibu nzuri za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wa kipato cha chini wanapata huduma za Afya bureeeee...



Nahisi kila mtu amepata kitu leo.

TRANSCEND.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom