shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nchi ilikuwa inapotea kwenye ramani, ngoja nifuatilieSidhani km lilifikisha vifo hata Milioni 1
......

Mungu atusaidieNa bado
.....
umeanza unataka kuharibu hakuna wa kukubembekezea tenaMambooo bibie
Mond hapa...
Maiti zilikosa hadi watu wa kuwazika maana ziluozea kitaaAisee watu wengi sana walipoteza maisha
HapanaNawe upo kule eeh
SafituuMambooo bibie
Mond hapa...
Hatari sana, sasa ni Madrid timeMaiti zilikosa hadi watu wa kuwazika maana ktk kila watu 10 wanne walikufa
........

Somo zuri asantebT wa SakayoAsante kwa Top Ten mkuu..
Mwisho:
Wenzetu wameweka mikakati mingi sana ya kuji-back up wakipatwa na haya matatizo
1. VIMBUNGA NA MATETEMEKO YA ARDHI
-Nyumba zinajegwa kwa mbao kuepuka maafa makubwa..
-Structurally, Timber zinatumika sana manake ni light material ukilinganisha na Zege/matofali au chuma.
- kuna vikundi na vifaa vya kutosha vya Kufanya Rescue
-Kumekuwepo na redisign Master plans za miji na kuepuka maeno yote Hatarishi kwa vimbunga na matetemeko ya Ardhi.
-Kumekuwepo na mamlaka na kuchunguza na kupridict kutokea kwa haya majanga na hivyo kutoa Tahadhari mapema.
2. NJAA ,UKAME NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA
-WAmekuwa watu makini na uharibifu wa mazingira, hawa jamaa wanavyanda vingi kushinda sisi ila mazingira yao ni mazuri kutushinda sisi.
-Wameweka mifumo mizuri ya uzalishaji wa chakula na kucontrol population
Yaani uzalishaji unaendana sawa na ukuaji wa watu..
Mfano ni china na Japan
-Tumeona system nyingi za usindikaji wa vyakula na uzalishaji wa vyakula vya Muda mfupi.. km kuku, mchele n.k
3.AFYA / MAGONJWA
-Kumekuwa na Chajo kubwa sana kwa mataifa yaliondelea hasa Asia na Ulaya.
Magonjwa mengi sana yanatolewa chanjo.
-wanalishe nzuri na wako makini na afya zao.
-Wahadhiri na wanasayansi wamefanya reseach/ tafiti juu ya magonjwa na kuapatia ufumbuzi..
Huku Tz wanakimbilia bungeni![]()
![]()
![]()
-Wameweka Taratibu nzuri za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wa kipato cha chini wanapata huduma za Afya bureeeee...
Nahisi kila mtu amepata kitu leo.
TRANSCEND.
SawaUpole kawaida yangu..
Ila vale kanifanya niwe mnyonge
Ananidatisha sana .
Kumbe ilikuwa swali kwa mkongosijamsema nimemuuliza mkongo
hivi si ndio laliga au mbona huku hawaonyeshiHatari sana, sasa ni Madrid time![]()
Fikiria shemeji ila msameheNgoja nifikirie
Sisi janga dogo tu tunatembeza bakuli kisha wajanja km Sizonje wanakula pesaAsante kwa Top Ten mkuu..
Mwisho:
Wenzetu wameweka mikakati mingi sana ya kuji-back up wakipatwa na haya matatizo
1. VIMBUNGA NA MATETEMEKO YA ARDHI
-Nyumba zinajegwa kwa mbao kuepuka maafa makubwa..
-Structurally, Timber zinatumika sana manake ni light material ukilinganisha na Zege/matofali au chuma.
- kuna vikundi na vifaa vya kutosha vya Kufanya Rescue
-Kumekuwepo na redisign Master plans za miji na kuepuka maeno yote Hatarishi kwa vimbunga na matetemeko ya Ardhi.
-Kumekuwepo na mamlaka na kuchunguza na kupridict kutokea kwa haya majanga na hivyo kutoa Tahadhari mapema.
2. NJAA ,UKAME NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA
-WAmekuwa watu makini na uharibifu wa mazingira, hawa jamaa wanavyanda vingi kushinda sisi ila mazingira yao ni mazuri kutushinda sisi.
-Wameweka mifumo mizuri ya uzalishaji wa chakula na kucontrol population
Yaani uzalishaji unaendana sawa na ukuaji wa watu..
Mfano ni china na Japan
-Tumeona system nyingi za usindikaji wa vyakula na uzalishaji wa vyakula vya Muda mfupi.. km kuku, mchele n.k
3.AFYA / MAGONJWA
-Kumekuwa na Chajo kubwa sana kwa mataifa yaliondelea hasa Asia na Ulaya.
Magonjwa mengi sana yanatolewa chanjo.
-wanalishe nzuri na wako makini na afya zao.
-Wahadhiri na wanasayansi wamefanya reseach/ tafiti juu ya magonjwa na kuapatia ufumbuzi..
Huku Tz wanakimbilia bungeni![]()
![]()
![]()
-Wameweka Taratibu nzuri za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wa kipato cha chini wanapata huduma za Afya bureeeee...
Nahisi kila mtu amepata kitu leo.
TRANSCEND.
PoaNgoja nikawachukue
Pole ya niniHakika, mtu ambaye hajafika Tanga nampa pole
1/The Deadliest Earthquake
Tetemeko hili lilitokea July 1201 huko Misri na Syria.liliua mamilioni na kusababisha uharibifu mkubwa kuwahi kutokea duniani![]()
Mwisho
.....

WaooooHaya memsamehe![]()
Upo at au real?Sasa tunaelekea kwenye jiji la Madrid
Nasalimia tu shem..umeanza unataka kuharibu hakuna wa kukubembekezea tena