Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/The Deadliest Earthquake
e746968577c580241694780dec537e3e.jpg
252920969ed7c604a55b03c994a8dade.jpg
Tetemeko hili lilitokea July 1201 huko Misri na Syria.liliua mamilioni na kusababisha uharibifu mkubwa kuwahi kutokea duniani

Mwisho
.....
Shukrani mkuu
 
Nipo na hali mbaya sana nasikia kama tumbo limetoboka au utumbo kukatika..
Pole sana Mondray,pole kwa kuumwa kumbuka Yesu aliwambwa pale msalabani kwa ajili yetu, Isaya 53:3,5kwakupigwa kwake sisi tumepona chukua hatua ya imani muombe Mungu akutie nguvu,chukua maji ya uvuguvugu kunywa taratibu kama first aid na uanze kwenda hospitali sasa,wao wana dawa za kupunguza maumivu haraka sana,kama maumivu ni makali watakuchoma sindano ya maumivu ya tumbo na upumzike wakati wanafanya vipimo vingine...Mungu akutie nguvu..kama una buscopan tablets na hospitali ni mbali kunywa ili usiteseke na maumivu.Nakuombea UPONYAJI KATIKA JINA LA YESU
 
Asante kwa Top Ten mkuu..

Mwisho:

Wenzetu wameweka mikakati mingi sana ya kuji-back up wakipatwa na haya matatizo

1. VIMBUNGA NA MATETEMEKO YA ARDHI

-Nyumba zinajegwa kwa mbao kuepuka maafa makubwa..

-Structurally, Timber zinatumika sana manake ni light material ukilinganisha na Zege/matofali au chuma.

- kuna vikundi na vifaa vya kutosha vya Kufanya Rescue

-Kumekuwepo na redisign Master plans za miji na kuepuka maeno yote Hatarishi kwa vimbunga na matetemeko ya Ardhi.

-Kumekuwepo na mamlaka na kuchunguza na kupridict kutokea kwa haya majanga na hivyo kutoa Tahadhari mapema.


2. NJAA ,UKAME NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA

-WAmekuwa watu makini na uharibifu wa mazingira, hawa jamaa wanavyanda vingi kushinda sisi ila mazingira yao ni mazuri kutushinda sisi.

-Wameweka mifumo mizuri ya uzalishaji wa chakula na kucontrol population

Yaani uzalishaji unaendana sawa na ukuaji wa watu..

Mfano ni china na Japan

-Tumeona system nyingi za usindikaji wa vyakula na uzalishaji wa vyakula vya Muda mfupi.. km kuku, mchele n.k



3.AFYA / MAGONJWA

-Kumekuwa na Chajo kubwa sana kwa mataifa yaliondelea hasa Asia na Ulaya.

Magonjwa mengi sana yanatolewa chanjo.

-wanalishe nzuri na wako makini na afya zao.

-Wahadhiri na wanasayansi wamefanya reseach/ tafiti juu ya magonjwa na kuapatia ufumbuzi..

Huku Tz wanakimbilia bungeni

-Wameweka Taratibu nzuri za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wa kipato cha chini wanapata huduma za Afya bureeeee...



Nahisi kila mtu amepata kitu leo.

TRANSCEND.
Sure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom