Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,222
- 39,922
Ray mylove upo api?

Ray mylove upo api?

Pamoja mkuuHongera zake kutokupewa kadi hata moja, Asante kwa nukuu mkuu
Nakumbuka kuna kifungu kwenye biblia kinasema mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake ogopa huu mstari usikuhusuHakuna cha taratibu wala nini. Hapa nilipo nimefura kwa hasira akija tu namdaka kwa mashtaka
Njema Dada VP hali ya hewasalama za kwako
Sinywi tena mpenzi
Soda water tu kidogo initoe roho

Nina mastory kibao kuhusu hizi muvi...Hii nimeisikia Leo![]()
Pamoja shemsantee kwa nukuu
Leo nimetoka kidogo Niko kwa orani njezaNzuri mkuu, habari za jijini kwa Sugu
Wazima lakiniLeo nimetoka kidogo Niko kwa orani njeza
Penda pesa eeh???hahaha kutokuomba pesa ni swala gumu sana shemela
nimemzuia mndali kuna tatizo na id yake naitumia mm naona watu wanampapatikia tu bae wangu waendelee na wapenzi wao jamaan lee wangu wamuache

Unaweza kutumegea ka-experience kako japo kiduchu???Kweli kwa wabongo ni gumu sana
Mukongo anakusalimu?

Mwambie nami namsalimia

mm mushenga wala sipendi simuombi kabisa lee ata akinipa nakataaPenda pesa eeh???
Huku wazima mkuu unajua kizungumza kinyiha? Maana uliniambia ulikuwa unakaa vwawaWazima lakini