shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kweli kwa wabongo ni gumu sanahahaha kutokuomba pesa ni swala gumu sana shemela
Kweli kwa wabongo ni gumu sanahahaha kutokuomba pesa ni swala gumu sana shemela
HakikaKwa udhamini wa Comedian
Tatizo mwili sio akili kimwili manaweza kuwa pamoja ila kiakili akawa sehemu nyinginenajua inapobidi kuchungwa lazima achungwe
Asante wasalimieHuku kwema
mndali pls mm nipo na lee wala sihitaji mtu yeyote vale kama anamtaka aje kwenye foleniMkuu mondray anakuhitaji wewe wakati anajua yuko na Valentine na Valentine anahitaji Lee wakati anajua yupo na wewe kuna nini hapo katikati
Clkey mzimaHuku kwema
Khaaaa ila ww hayo ni maamuzi yangu ndio nimeamua hivyoTatizo mwili sio akili kimwili manaweza kuwa pamoja ila kiakili akawa sehemu nyingine
Hapo ni kukaa na kuelekezana lakini sio kukomoana
Sawa mi nilikuwa najaribu kuangalia huu mziki wenu maana hapo we ndo unamsimamo dhabitimndali pls mm nipo na lee wala sihitaji mtu yeyote vale kama anamtaka aje kwenye foleni
Hata mi najua wewe ndo umeamua ila sio leeKhaaaa ila ww hayo ni maamuzi yangu ndio nimeamua hivyo
Kumbe anachepuka na ray eehMkuu mondray anakuhitaji wewe wakati anajua yuko na Valentine na Valentine anahitaji Lee wakati anajua yupo na wewe kuna nini hapo katikati
Mukongo anakusalimu?Huku kwema
Mwambie nami namsalimiaMukongo anakusalimu?
Nini tena
Hii inaitwa tit for tatMkuu mondray anakuhitaji wewe wakati anajua yuko na Valentine na Valentine anahitaji Lee wakati anajua yupo na wewe kuna nini hapo katikati
bas uwe na amani wa kulalamika ni leeHata mi najua wewe ndo umeamua ila sio lee
Sijasema anachepuka wewe ndo umeongezea maneno ya kuchepukaKumbe anachepuka na ray eeh
hakuna mziki wowote this is chit chat relaxSawa mi nilikuwa najaribu kuangalia huu mziki wenu maana hapo we ndo unamsimamo dhabiti
Mkuu mzimaMukongo anakusalimu?