Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Raha sana kumuhamu leeunajiskiaje kumuhamu mume wa mtu huko kwenu hamfundwi
Raha sana kumuhamu leeunajiskiaje kumuhamu mume wa mtu huko kwenu hamfundwi
Mambo mwayaNakuona v
Ungeniita nikusaidieJuzi umeniachia ugomvi humu leo sitaki kuwa shahidi
Mi niko poa kabisa habari ya pande hizoMambo mwaya
Mbona ulikimbia shunie alivyo kuja ukapotea jumlaUngeniita nikusaidie
Pande hizi ni bomba sanaMi niko poa kabisa habari ya pande hizo
hahaha kutokuomba pesa ni swala gumu sana shemelaMbona unafumba macho
sawa utakufa na hamu zako lee arudi tena jf nimemzuiaRaha sana kumuhamu lee
Nililala nahisiMbona ulikimbia shunie alivyo kuja ukapotea jumla
Asante tumshukuru atupae pumziPande hizi ni bomba sana
Umemfanyeje?sawa utakufa na hamu zako lee arudi tena jf nimemzuia
Sawa ila nilimaliza mambo yakawa sawaNililala nahisi
Kwa udhamini wa ComedianView attachment 503580Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho
Najua pa kumpata kashanielekezasawa utakufa na hamu zako lee arudi tena jf nimemzuia
nimemzuia mndali kuna tatizo na id yake naitumia mm naona watu wanampapatikia tu bae wangu waendelee na wapenzi wao jamaan lee wangu wamuacheUmemfanyeje?
sawaNajua pa kumpata kashanielekeza
Sawa ila kumbuka kuwa mwanaume hachungwinimemzuia mndali kuna tatizo na id yake naitumia mm naona watu wanampapatikia tu bae wangu waendelee na wapenzi wao jamaan lee wangu wamuache
najua inapobidi kuchungwa lazima achungweSawa ila kumbuka kuwa mwanaume hachungwi
Huku kwemaTuko poa habr ya pande hizo
Mkuu mondray anakuhitaji wewe wakati anajua yuko na Valentine na Valentine anahitaji Lee wakati anajua yupo na wewe kuna nini hapo katikatisawa