Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
ahhahaahUnaweza kutumegea ka-experience kako japo kiduchu???
ahhahaahUnaweza kutumegea ka-experience kako japo kiduchu???
[emoji23] ile sio timu ni shuleHalafu alisema eti ni bora timu yenu ibadili ligi
Hahahhah una utani na shemela wangu shululu[emoji23] ile sio timu ni shule
Bongo itashuka daraja mpaka la nne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haitoweza figisu za bongo
Uko upande gani?[emoji387] [emoji386] [emoji387] [emoji386]Leo ni nusu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE
![]()
ChaplinBaba mchungaji
ChaplinBaba mchungaji
Mama lee wange[emoji4]Baba mchuchu wange
hahahhMama lee wange[emoji4]
Na Johnny Depp unamchukuliaje labda kwa muvi zake.
Mdadisi!!!
Weeee humjui joohny depp vzr mm karibia muvi zake zote nimeona..hata za kigaidi na mapigano yupo fresh...Yule lazima hatakua anakautaila kidogo
Changa!!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji53] Mh!!!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]![]()
Kwa ushirikiano mnono kabisa wa BlessedHope
Tukutane jioni katika top ten na brother Bitoz.
Pesa sabuni ya roho, watu wasingekuwa wanagombania daladala kuwahi makazini kutafuta pesa, chezea pesa wewemm mushenga wala sipendi simuombi kabisa lee ata akinipa nakataa
hahahahaPesa sabuni ya roho, watu wasingekuwa wanagombania daladala kuwahi makazini kutafuta pesa, chezea pesa wewe
Sifahamu aisee, wanyiha niliwaogopa sanaHuku wazima mkuu unajua kizungumza kinyiha? Maana uliniambia ulikuwa unakaa vwawa