Huo ndio ukweliSerikali haina hela
Hata hizo ajira 52 ni danganya toto tu
52000-10000= 40000
Yaani miaka 3 ajira zitatoka 40000 na bado wanapunguza wengine
Hivyo miaka mitatu ajira mpya ni km 20000 tu
Pia tangu aingie madarakani anapunguza tu wafanyakazi Hivyo Unaweza kukuta wamefukuzwa 60k zen wanaajiriwa 40k halafu watu wanashangilia eti ajira mpya
Wajinga ndio waliwao
.........
1972 - Dwayne Johnson anazaliwa.
Ni Msanii wa filamu na mwanamieleka mwenye asili ya Marekani na Canada.
ubeligijiBelgium, au Ubeleji (ubelijiji)
Nzuri, habari za NKhabari za asubuhi....
Mara yamwisho katika utafit wangu nligundua wanaishi satohayo yanatumika??? matumizi gani??
kuna viumbe vinaishi ndani yake??
Asante kwa historia mkuu Mussolin5 ubarikiwe siku njemaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Tanzania yanguSerikali haina hela
Hata hizo ajira 52 ni danganya toto tu
52000-10000= 40000
Yaani miaka 3 ajira zitatoka 40000 na bado wanapunguza wengine
Hivyo miaka mitatu ajira mpya ni km 20000 tu
Pia tangu aingie madarakani anapunguza tu wafanyakazi Hivyo Unaweza kukuta wamefukuzwa 60k zen wanaajiriwa 40k halafu watu wanashangilia eti ajira mpya
Wajinga ndio waliwao
.........
AsanteAlikufa
Njemahabari za asubuhi....
1975 - David Beckham anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Real Madrid, Ac Milan, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza.
Mmoja kati ya wanasoka tajiri, maarufu na wenye mvuto wa kibiashara.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Man Utd mwaka 1999.
Wakati anamuoa Victoria Adams wachezaji wenzake wa Man Utd walihudhuria isipokuwa Kepteni wao Roy Keane aliyesema ni bora atoke out na Mbwa wake kuliko kuhudhuria sherehe ya Beckham.
Aliondoka Man Utd timu aliyoipenda baada ya kugombana na Kocha Sir Alex ambapo katika mechi ya robo fainali ya F.A Beckham alipigwa na kiatu cha uso na kuchanika wakati wa mapumziko na kocha wake Ferguson.
R.I.P J.Edgar Hoover1972 - J. Edgar Hoover anafariki Dunia.
Mkurugenzi wa kwanza na muasisi wa Shirika la Upelelezi nchini Marekani FBI.
Mmoja kati ya watu walioogopeka sana katika enzi za Uhai wake.
Ni mbabe na katili wa kimya kimya ambaye aliigeuza FBI kama taasisi yake ya siri.
Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI
HBD David Beckham1975 - David Beckham anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Real Madrid, Ac Milan, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza.
Mmoja kati ya wanasoka tajiri, maarufu na wenye mvuto wa kibiashara.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Man Utd mwaka 1999.
Wakati anamuoa Victoria Adams wachezaji wenzake wa Man Utd walihudhuria isipokuwa Kepteni wao Roy Keane aliyesema ni bora atoke out na Mbwa wake kuliko kuhudhuria sherehe ya Beckham.
Aliondoka Man Utd timu aliyoipenda baada ya kugombana na Kocha Sir Alex ambapo katika mechi ya robo fainali ya F.A Beckham alipigwa na kiatu cha uso na kuchanika wakati wa mapumziko na kocha wake Ferguson.
safi shedede za wwwakuu habar za asubuhi
ni kupata au mm sijamuelewaayayayaya unamaana nisiwahi pata tena kibarua
UbarikiweAmen Mama Mchungaji
kwahiyo umeshapata wa kukufinyia kwa ndaninilikuwepo mmu natafuta wakunifinyia kwa ndani
naanzaje kumuacha shedede limbata halifanyi kazi atakutana na moto wa Yesujifanye unamjua!!!!
au umemwekea limbwata amwache shunie
R.I.P Osama Bin Laden2011 - Osama Bin Laden ambaye ni mshukiwa wa mashambulizi ya kigaidi ya September 11 anauwawa na Majeshi maalum ya Marekani huko Abbottabad nchini Pakistan.