Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Tuwe wavumilivu maana miundo mbinu ndo inatusababisha tushindwe kufikia malengo kwa wakatiMiundo mbinu ndio tatizo
Tuwe wavumilivu maana miundo mbinu ndo inatusababisha tushindwe kufikia malengo kwa wakatiMiundo mbinu ndio tatizo
Bantu figure siku hizi hazipo?Hawa chura baada ya kuja huku mjini ndo nimewaona
Kamanda, nakutakia usiku mwemaTuwe wavumilivu maana miundo mbinu ndo inatusababisha tushindwe kufikia malengo kwa wakati
Nawe pia mkuuKamanda, nakutakia usiku mwema
Zipo ila zimepunguaBantu figure siku hizi hazipo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu kala Burger[emoji23]
Bwana Yesu akutie nguvu upate haja ya moyo wako,upate kazi ambayo unastahili [emoji120]mama mchungaji bwana yesu asifiwe sana
ni furaha iliyoje leo MUNGU katupa kibali tunaishi vzr sana
once naomba uniombee kibarua changu kimeota nyasi emagine eti nimepewa kazi ya kuchunga mbuzi
kweli mimi nichunge mbuzi[emoji22][emoji22]
Nimeuona mahali wafaa kusomwaKuna uzi wa kambona, kauweka Nyani ngabu
AmenNawe pia mkuu
Tujikabidhi kwa muumba wetu maana yeye ni mwingi wa rehema
mkuu hiki kibarua nimenyang'anywa so sina sauti sana[emoji29]Ananipenda Nampenda==Tunapendana .
Kaa kutoa macho tu.
itabid nitafute ata bastolaKwani wewe huna mtutu
ayayayaya unamaana nisiwahi pata tena kibaruaTutaungana mimi, mama mchungaji, Baba mchungaji na baba paroko tutafanya maombi kwa ajili ya kibarua chako nyasi ziungue zisiote tena
nimefanya nini??[emoji20][emoji20]Sihusiki ni shedede
[emoji1] [emoji1] [emoji1] lazima niipendehahahha najua shedede unavyoipenda kazi yako
hapo sawa[emoji120]mlinzi ni ww tu shedede yataisha
nilikuwepo mmu natafuta wakunifinyia kwa ndani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]shemela umesahau lee kaondoka na yy kapotea
ushindwe na ulegeee wewe unamgeuza boss lee kama kichaa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Lee kanikabidhi ww kama hujui.
Mikataba yote ipo pm..