Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
jifanye unamjua!!!!Sawa ila lee ni mchizi wangu sana in real life.
kabisaSawa hata mi napenda kibarua chake kiwepo maana naona bila ulinzi wake unaweza kutekwa

yaah hata sisi watu wamikoani tuliskia ivyo kariakoo hapafai mvua hatarMvua ilinyesha sana leo
Mkuu tujitahidi kutengeneza uchumi imara ili tuwe wawekezaji wa ndani tutakao toa ajira kwa watanzania wenzetu na hii itatujengea jina lisilo futika katika maisha ya watu wengi
wakati mwingine waga naona laliga malaga na seville izi team mbili zinaushindani kama ilivyo barca na r.madridSpain LaLiga
![]()
Njemawakuu habar za asubuhi
AMENBwana Yesu akutie nguvu upate haja ya moyo wako,upate kazi ambayo unastahili![]()
nasukuru,hapana sijaji-engage pande iyoKaribu tena, asubuhi tulikukalibisha ila ukapotea, karibu tena comedian, hapa ni kuchat tu,toa like upate like
Matusi na porn haturuhusu, hapa ni full furaha
santehkaribu sana humu toa like upate like mengine wataongezea
Morning shededewakuu habar za asubuhi
Boss anatakiwa akukabidhiitabid nitafute ata bastola
Morning comediangood morning every body here