Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
hahahha wanaume wa dar wote wanajifanya wanaishi mikoaniyaah hata sisi watu wamikoani tuliskia ivyo kariakoo hapafai mvua hatar
hahahha wanaume wa dar wote wanajifanya wanaishi mikoaniyaah hata sisi watu wamikoani tuliskia ivyo kariakoo hapafai mvua hatar
mama mchuchu wangu shikamoo umeamkaje jaman mama anguNjema
shemela mornie umeamkajeMorning shedede
atamkabidhi anazoBoss anatakiwa akukabidhi
Khaaa huyu baba jamaan mbona hivi umri tena
kazi ipo yote hiyo kukwepa gharama za kuwalipa watu mafao yao anatafuta sbbu tu
1981 - Tiago Mendes anazaliwa.
Kiungo wa ukabaji wa zamani wa Chelsea, Juventus, Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Kwasasa yupo zake Atletico Madrid chini ya Kamanda Diego Simione.
hahah shemela wangu umemuona babu yenu atawaua huyu mzee
Aiseee nitalitafuta nisome hii habari ya mume wa kajala
Marahaba Shunie namshukuru sana Mungu nimeamshwa salama na nguvu mpya ,za huko,sisi huku mvua tu ,tunamshukuru Mungu sana ,uwe n siku njema Mungu akubariki dearmama mchuchu wangu shikamoo umeamkaje jaman mama angu
asante shemela kwa magazeti ubarikiwe sanaView attachment 503580Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho
kabisa yaan havihusianihahahha hali ni mbaya kwa watumishi aisee hadi umri mi nafikir hapo angefatilia utendaji tu wa kazi maswala ya umri ni private issues
Aisee1972 - J. Edgar Hoover anafariki Dunia.
Mkurugenzi wa kwanza na muasisi wa Shirika la Upelelezi nchini Marekani FBI.
Mmoja kati ya watu walioogopeka sana katika enzi za Uhai wake.
Ni mbabe na katili wa kimya kimya ambaye aliigeuza FBI kama taasisi yake ya siri.
Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI
1972 - J. Edgar Hoover anafariki Dunia.
Mkurugenzi wa kwanza na muasisi wa Shirika la Upelelezi nchini Marekani FBI.
Mmoja kati ya watu walioogopeka sana katika enzi za Uhai wake.
Ni mbabe na katili wa kimya kimya ambaye aliigeuza FBI kama taasisi yake ya siri.
Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI
Asante mussolin kwa historia ubarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
hahaaa kwema mkuuNzuri, habari za NK
anaipeleka shimoni ccm yaan 2020 sijui kama patatosha hafikilii anaowafukuza kazi inakuajeSerikali haina hela
Hata hizo ajira 52 ni danganya toto tu
52000-10000= 40000
Yaani miaka 3 ajira zitatoka 40000 na bado wanapunguza wengine
Hivyo miaka mitatu ajira mpya ni km 20000 tu
Pia tangu aingie madarakani anapunguza tu wafanyakazi Hivyo Unaweza kukuta wamefukuzwa 60k zen wanaajiriwa 40k halafu watu wanashangilia eti ajira mpya
Wajinga ndio waliwao
.........
Salama mkuu habari za huko ulikohabari za asubuhi....
asante mama mchuchu ubarikiwe na ww sanaMarahaba Shunie namshukuru sana Mungu nimeamshwa salama na nguvu mpya ,za huko,sisi huku mvua tu ,tunamshukuru Mungu sana ,uwe n siku njema Mungu akubariki dear
R.i.p
Dikteta wa FBI![]()
......