Makapuku Forum

Makapuku Forum

1975 - David Beckham anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Real Madrid, Ac Milan, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza.

Mmoja kati ya wanasoka tajiri, maarufu na wenye mvuto wa kibiashara.

Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Man Utd mwaka 1999.

Wakati anamuoa Victoria Adams wachezaji wenzake wa Man Utd walihudhuria isipokuwa Kepteni wao Roy Keane aliyesema ni bora atoke out na Mbwa wake kuliko kuhudhuria sherehe ya Beckham.

Aliondoka Man Utd timu aliyoipenda baada ya kugombana na Kocha Sir Alex ambapo katika mechi ya robo fainali ya F.A Beckham alipigwa na kiatu cha uso na kuchanika wakati wa mapumziko na kocha wake Ferguson.
 
Leo katika Historia:

1933 - Adolf Hitler apiga vita vyama vya Wafanyakazi nchini Ujerumani.
92f60c1fef58e3e23821ab1db26946fc.jpg
 
hahahha hali ni mbaya kwa watumishi aisee hadi umri mi nafikir hapo angefatilia utendaji tu wa kazi maswala ya umri ni private issues
Serikali haina hela
Hata hizo ajira 52 ni danganya toto tu
52000-10000= 40000
Yaani miaka 3 ajira zitatoka 40000 na bado wanapunguza wengine
Hivyo miaka mitatu ajira mpya ni km 20000 tu
Pia tangu aingie madarakani anapunguza tu wafanyakazi Hivyo Unaweza kukuta wamefukuzwa 60k zen wanaajiriwa 40k halafu watu wanashangilia eti ajira mpya
Wajinga ndio waliwao

.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom